Inasikitisha kweli

Godlv

Member
Apr 1, 2012
27
0
British Airways...
248 planes
50 in order(still making)
10 options

Kenya Airways
34 active planes
24 in order
4 options

Tanzania
1 active
0 in order
0 options
 
Tazama haya: madenge ya KQ yangekuwa ya ATCL kama siyo ubinafsi wa watendaji wetu,- KLM waliisihi serikali ya TZ wawapunguzie ma boeing yao yaliyokuwa active ili wawasaidie kwenye southern circuit, serikali ikasema haiwezi kupokea bila kupitia kwa agent, KLM wakayapeleka Kenya, sasa KQ inatesa.
 
British Airways...
248 planes
50 in order(still making)
10 options

Kenya Airways
34 active planes
24 in order
4 options

Tanzania
1 active
0 in order
0 options

tusuuuue mwe!
 
British Airways...
248 planes
50 in order(still making)
10 options

Kenya Airways
34 active planes
24 in order
4 options

Tanzania
1 active
0 in order
0 options

Angalia kina mwema na kova wakakwambia wewe ni chadema.
 
British Airways...
248 planes
50 in order(still making)
10 options

Kenya Airways
34 active planes
24 in order
4 options

Tanzania
1 active
0 in order
0 options

Hahahaaaaaaa!!! Najua sio jambo la kucheka lakini nitafanyaje? Hii nchi hakuna hata moja la kujivunia!
 
Tazama haya: madenge ya KQ yangekuwa ya ATCL kama siyo ubinafsi wa watendaji wetu,- KLM waliisihi serikali ya TZ wawapunguzie ma boeing yao yaliyokuwa active ili wawasaidie kwenye southern circuit, serikali ikasema haiwezi kupokea bila kupitia kwa agent, KLM wakayapeleka Kenya, sasa KQ inatesa.
Hpo kwenye red pamenisikitisha sana , hao ma ajenti ndo wanajua kuweka hamira kwenye bei ili ionekane ni dili kubwa na pia wanajua jinsi ya kuwajaza wahe. mifuko yao
 
Hpo kwenye red pamenisikitisha sana , hao ma ajenti ndo wanajua kuweka hamira kwenye bei ili ionekane ni dili kubwa na pia wanajua jinsi ya kuwajaza wahe. mifuko yao

Kuna kila sababu ya kuwasaka na kuwamaliza wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine wamelifikisha taifa hili hapa tulipo. Ole wao wakae wakijua kuwa iko siku watalia na kusaga meno!! na wanajijua....:disapointed:
 
Back
Top Bottom