Inarudiwa jamani, ninatafuta mwanamke asiye na mpenzi

Mi sina dhambi. Umenifananisha na wewe mwenyewe.

Ila huyu jamaa katumia neno zito. Mpanzi? Dah
Ushasahau hadithi ya mpanzi? Mmoja alipanda barabarani watu wakaikanyaga ikashindwa kuota... mwingine akapanda kwenye miiba, miiba ikaizonga ikashindwa kumea..... mwingine kwenye mwamba ikashindwa kuota... mwingine kama mimi tukapanda kwenye udongi mzuri ikazaa mbegu moja kwa mia.

Sasa huyu mhanga wa leo anatafuta mpanzi wa kuotesha mbegu kwenye baiolojia used....


Acha wafu wazike wafu wenzao.

Na hili ndilo neno la Mungu.

Tumshukuru Mungu.
 
Bagamoyo hapa. Naangalia samaki wanavoogelea. Kitoweo nimekiacha bandani, mpishi hueleweki. Naumia sana loho walah
bas njoo na samaki nifanye faster.usichukie jmn my dear mambo ni kuchukuliana ujue.
 
international_symbol_for_marriage.jpg

i wish u all the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom