Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 82
- Thread starter
- #21
Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda
Kama anaona kule ndo kuko sawa basi talaka inamfaa ili aende huko apewe hicho anachokipata
siko huko muendako na wala siko kulikokusudiwa jamani mutambuwe maana ya riwaya za kiswahili