Dogo acha utoto!umejuaje kama hakuna mwana JF hata mmoja aliyechaguliwa zaidi yako ilihali watu wengi(ukiwamo na wewe mwenyewe) wanatumia anonymous names?
Toka zimeanza hizi selection za vyuo ndio nimegundua kwa nini jf siku hizi kuna thread zinaanzishwa za hovyohovyo kumbe wengi ni teenagers mlikua mnasubir matokeo!had mnanatumia lugha zenu za ki fb humu!msidhani kila mtu humu ni wa kusoma sometimes mnawajibu vibaya baba zenu
Wapo wengi sema hawapendi kujioneshaonesha ka we ni mmoja wapo hongera ,tutakutana na hiyo kauli ya kuwa huko peke yako hebu badili angalau ungesema unataka kuwafahamu wenzio .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.