Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

GENTLEMAN S

Member
Feb 19, 2014
47
8
siamini bado,maumivu niliyonayo ni mazito,
mke wangu umeniacha,kukosa kazi limekua tatizo;
nimetoka mihangaikoni narudi nakuta haupo nyumbani umeondoka na mwanangu,bado nampenda sana huyu mwanamke
ameondoka na kuniacha kwenye kipindi kigumu sana,
mwezi ujao napaswa kulipa kodi najua umekimbia dhamna ya kufukuzwa na mwenye nyumba,ila ningepata tu mke wangu,.JAMANI WANAJF NISAIDIENI KAZI YOYOTE.
ninadharaulika sana jamani,
wanawake msiwadharau waume zenu msikimbie matatizo ndani ya nyumba..daah!
 
Vita subira, inawezekana yuko mahali.
Lakini kama kweli ametoroka sikiliza wimbo wa Jose Chameleon wa Shida za Dunia
 
pole chief. what goes around comes around.
zaburi 142 itakuwa msaada muhimu sana kwenye swala lakazi
 
Man..toughen up and go find a job flipping burgers somewhere.

So many burger joints in town looking for help.
 
Pamoja na kushuhudia sredi zako nyingi za kutafuta kibarua na ku-confess kuwa una familia, lakini nataka kujua kwa nini uliandika sredi hii na ni miezi mitano tu imepita?

5 Machi 2014

https://www.jamiiforums.com/love-connect/615171-natafuta-binti-anaejitambua.html

Habari zenu?
Nina imani kuna wadada wa kutosha humu na wakaka pia mwaweza kunipatia dada zenu..
..ninahitaji binti mmoja tu anayejitambua na kujiamini..
Nimeshajipanga kimaisha na namuhaidi atakaejitokeza kuja kua mke wangu..
..awe anajipenda na msafi,
umbo lolote..
Umri 24-32
elimu yoyote asipokua na kazi nitamsaidia,
karibuni tuwasiliane kwa PM
 
hata chips ningeuza tatizo ni pesa ya kuanzia,

.....unamaanisha uwe na genge lako sio!!?? Hapa ndipo unapokosea, tena sana! Sio lazima uwe na mtaji wa kuanzia. Unaweza kwenda kuomba kazi ya usaidizi kwa mkaanga Chipsi, kama ni sehemu inayochanganya unaweza lipwa buku tano kwa siku na kula unakula hapo.
 
Back
Top Bottom