Inamaana polisi wa tz ni zaidi ya sheria

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
Leo nilikuwa kwenye gari (Public Dala2) nikitokea Mlndz kuja Dar, jamaa walipata watu nyomi kwenye mutuka yao, mara jamma aliyekuwa anakuja toka tulikokuwa tunaenda akampa ishara Suka wetu kuwa mbele kuna wale jamaa wa sare nyeupe (Plc Trfc). Suka akamwambia konda ama awashushe watu au aandae elfu tatu na kadi ya gari kuwapa jamaa, konda akasema atawapa wawili tu (2000). Nikabaki midomo haifungi nikijiuliza inamaana sheria kwao si kitu ila askari ndo wanawaogopa???????????, kwanini??:A S-baby:
 
daa hapa sasa hata cjui niaje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom