DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,420
- 46,674
Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye.
Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU ambaye yupo na familia yake tayari anakuwa anaweza kukubaliwa na mwanamke kuliko MTU ambaye yupo single senior bachelor
NB , mimi hii michezo naijua yote Ila nimeamua kuvaa viatu vya love seekers.