Inahitajika nini ili radio isikike online?

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Ninajuliza hivyo tukiwa tunaekea bunge la bajeti wiki ijayo. Ni kwa nini RTD haisikiki online? Je ni gharama sana, hamna wataamu, uzembe au hamna maslahi ya kibiashara?
 
Kaka ni uzembe tu kitu kikubwa ni "radio tower" ambazo RTD wanazo kila sehemu TZ. Aibu kubwa hii


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Back
Top Bottom