Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,752
pamoja na polisi kuomba chadema isitishe maandamano kuruhusu majadiliano leo na chadema kukubali. Polisi inapita ikikamata viongozi wa ngazi ya chini wa chadema. Wamemkamata diwani wa kimara Manota na kada Donald wanaelekea kuwapeleka kituo cha polisi kisichojulikana,
Ufuatiliaji unaendelea
Tutawajuza zaidi kinachojiri
Ufuatiliaji unaendelea
Tutawajuza zaidi kinachojiri