Inaelekea Mbagala!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
i876_mbagala.jpg
 
Makubwa!! Na utashangaa ukiangalia kwenye windscreen ya daladala hii utakuta kuna stika ya usalama barabarabni ya jana ikisema gari hili liko bomba. Tanzania tambarare bwana!!!
 
Katika nchi za wenzetu wana limit ya uzee wa magari mijini. Let say tungekuwa na sheria ya magari ya kawaida ktk jiji la Dar mwisho lenye miaka 15, public transport miaka 10. Magari yaendayo mikoani miaka 10. Yale yanayozunguka ktk wilaya na miji midogo iwe kama kawa.

Jiji kama Tokyo gari iwe na miaka 0 - 5, baada ya hapo haipati inafutiwa usajili.
 
Lol.. ndio kwa kina Fairplayer huko!.... Mi nashangaa inawezekana vipi kuwa na magari kama haya wakati hawa jamaa wa Road Safety wameeka barrier baada tu ya kile Chuo cha uhasibu kila gari inayopita wanaikagua ndipo waikatie stika
 
Jiulizeni haya magari ni ya kina nani? Ulizeni matrafiki wangapi wamehamishwa vituo kwa sababu ya kuhoji uhalali wa haya magari kuwepo barabarani.
 
Hahahahaha kweli bongo tambarare duh roho zetu tumeshikilia mikononi
 
Katika nchi za wenzetu wana limit ya uzee wa magari mijini. Let say tungekuwa na sheria ya magari ya kawaida ktk jiji la Dar mwisho lenye miaka 15, public transport miaka 10. Magari yaendayo mikoani miaka 10. Yale yanayozunguka ktk wilaya na miji midogo iwe kama kawa.
Jiji kama Tokyo gari iwe na miaka 0 - 5, baada ya hapo haipati inafutiwa usajili.

Hii kwa nchi masikini kama Tanzania haiwezi kutumika Mkuu, pamoja na gharama ya magari hayo bado gharama za mafuta huku kubwa mno, bado barabara ni mbovu, kuna rushwa za kila siku barabarani na juu ya yote wananchi ni masikini sana hivyo nauli zetu ni 250/- ikiongezeka hamsini tunaandamana.Sasa ulete gari jipya itapita miaka mitano hujarudisha hata robo ya pesa yako. Cha msingi ni kuwa na ukaguzi wa mara kwa mara kwenye hayo mamtalimbo yetu.
 
Tanzania unapanda gari tayari ilishakuwa scrapper ..ikipata ajali hata mkwaruzo tu ni danger

Go go Tanzania
 
Hii ni mbagala/mwenge nyomi kama kwa kiasi kwamba mpaka gari inazidiwa uwezo.
na kucheua.
kweli bongo tambarare sana.
 
Ndo usafiri wenyewe wa kibongobongo. Hizi DCM jamaa wanazifagilia kwa mapato. Unakamata mkweche mmoja unaupeleka salon, familia inaendelea kunawili. By the way, issue ya mabasi yaendayo kasi imeishia wapi?
 
I CANT BILIVU MAI NOZI, OOOH SORE MAI AIZ, hii ni kweli au mawani yangu ni tinted?, Loh.
 
Maajabu! Technically, how can this happen? Ina maana transmission shaft + mountings zote za half-shaft mbili ziliachia kwa pamoja?
 
Katika nchi za wenzetu wana limit ya uzee wa magari mijini. Let say tungekuwa na sheria ya magari ya kawaida ktk jiji la Dar mwisho lenye miaka 15, public transport miaka 10. Magari yaendayo mikoani miaka 10. Yale yanayozunguka ktk wilaya na miji midogo iwe kama kawa.

Jiji kama Tokyo gari iwe na miaka 0 - 5, baada ya hapo haipati inafutiwa usajili.

bongo mpaka gari likatae hata kwa kusukumwa, na bado utakuta limesajiliwa
 
Msishangae kwa Mbagala hiyo ni Luxury super coach,huenda kuna bomu lilijificha huko kwenye rear axle likalipuka ktk vibratios za barabarani tuwaonee huruma wenzetu.Lakini mkuu kiwanda cha DCM kimekufa miaka mingi sana haya ni mascrap yanaletwa na kutusaidia shida zetu,tubadilike jamani tuende na wakati
 
Back
Top Bottom