Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,398
- 3,907
Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25
kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola vipo havifanyi uchunguzi wa aina yoyote na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Ndugu chegeni naye alihonga wajumbe 300 kwa elfu kumi kumi jumla ya tsh 3,000,000/= million Tatu
uongozi wa kununua huu hauwezi kuibadilisha nchi hata SIKU MOJA