In search of Our own Intifada..In our lifetime?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Where are our revolutionary soldiers to shake off the leaves?
Who are our visionaries who re daring to shake off some branches?
Which masses will be on front line to shake off the authorities?

In prayers for a start of our Intifada that I can witness in my life time!
 
We don't need special weapons...
We don't need trained soldiers...
We don't need all people , just few people are enough!

To witness this, you and I we must be part of a plan, execution and toasting celebrations

Our soldiers are now prisoners-of-hunger,
Our visionaries have been blinded by selfishness,
The mass is celebrating and finishing what we have! never think of next generations!

Intifada is the only solution!, the ballot box is a wastage of money and time!
 
This is the definition of Intifada in my Computer's Dictionary:

An uprising by Palestinian Arabs (in both the Gaza Strip and the West Bank) against Israel in the late 1980s and again in 2000
"the first intifada ended when Israel granted limited autonomy to the Palestine National Authority in 1993"

Reverend are you ready to do this or you just want others to do it for you?
 
mmeanza kupagawa naona..........
intifada kwenye nchi yetu ya amani na utulivu?????
ili tu mpewe vyeo vya kisiasa????

kwendeni zenu huko............
 
mmeanza kupagawa naona..........
intifada kwenye nchi yetu ya amani na utulivu?????
ili tu mpewe vyeo vya kisiasa????

kwendeni zenu huko............

Halafu wanaongea kana kwamba wapo nchini! Wanataka wenzao wachinje wananchi. Kisha wao warudi kula matunda ya nchi!
 
I hope its not intifada that we witnessed few years ago in Palestine. But.. if its an awakening of sort where citizens will demand their rights and political opportunities until they get them then it is something to cause to happen. However, this needs leadership and a clear idea what is the goal.

We CAN not have an intifada like the one in Palestine, we will ALL lose. In Palestine, no one has won yet and the two communities live in a continued state of distrust, fear and anxiety.

I'll call for "mwamko wa kifikra".. kama ule wa Iran, Thailand, Ukraine, Georgia n.k let me call it "The Golden Revolution"... ikimaanisha utetezi wa raslimali zetu.
 
MM kuna Mwanamama Mwanaharakati (MM) mmoja anatumia neno hili: MAPINDUZI BARIDI!
 
Tatizo kubwa la kuanzia ni kuwapata watu wenye mawazo sahihi na wanaoamini nchi inahitaji mabadiliko, kitu ambacho nadhani ni kigumu kwelikweli kwa mazingira ya sasa ya ubinafsi na kila mtu kujali ya kwake tu. Ule uzalendo wa kutetea maslahi ya wengi ulikwisha zikwa zamani sana, sijui itumike mbinu gani kuurejesha.
 
it sounds like a contradiction in terms..

huyo mama aliidefine vizuri tu - mapinduzi ya moto yanatumia silaha za moto ila mapinduzi ya baridi yanatumia silaha za baridi na yote yanaleta mabadiliko makubwa:

mfano: wafanyakazi wote (wakiwamo hao wasomi waliojitoa) wakigoma unadhani hawataleta mapinduzi baridi?
 
huyo mama aliidefine vizuri tu - mapinduzi ya moto yanatumia silaha za moto ila mapinduzi ya baridi yanatumia silaha za baridi na yote yanaleta mabadiliko makubwa:

mfano: wafanyakazi wote (wakiwamo hao wasomi waliojitoa) wakigoma unadhani hawataleta mapinduzi baridi?

I don't think so.. kugoma peke yake hakusababishi mapinduzi baridi..
 
leo naona Rev kishoka kaamka bila kusali

sisi hatutaki intifada hapa kwetu
mabadiliko yatatokea kwa njia kura na si vita
 
leo naona Rev kishoka kaamka bila kusali

sisi hatutaki intifada hapa kwetu
mabadiliko yatatokea kwa njia kura na si vita

Isemee nafsi yako tafadhali.
Mimi naitaka sana intifada, hususan ya kifikra. Watu mnachukulia harakati kama vita tu, bila kuangalia maana pana. Hivi unajua kuwa kuna hata personal jihad?

Ukiwa na mawazo ya kijima kama hayo ya mabadiliko kwa njia ya kura we are doomed, maana hao wanaong'ang'ania madaraka wanajua pa kuwabana. Wanaanza kununua wapiga kura hadi masanduku ya kura, sasa nyie endeleeni kusubiria hayo mabadiliko, labda yatakuja baada ya vizazi 200 kupita.
 
mmeanza kupagawa naona..........
intifada kwenye nchi yetu ya amani na utulivu?????
ili tu mpewe vyeo vya kisiasa????

kwendeni zenu huko............

Peace and harmony to some people like you, majority in Tanzania are living in hell!
 
Peace and harmony to some people like you, majority in Tanzania are living in hell!
Watu wanadhania vitu vizuri vinadondoka kutoka mbinguni kaa miujiza. Pia tatizo sio tu watu wanaishi ktk umaskini wa kutupa, bali pia prospect yenyewe ni bleak, yaani mbele ni kiza kitupu.
 
leo naona Rev kishoka kaamka bila kusali

sisi hatutaki intifada hapa kwetu
mabadiliko yatatokea kwa njia kura na si vita

When that will be? are you indirectly suggesting monarchy system?
 
Watu wanadhania vitu vizuri vinadondoka kutoka mbinguni kaa miujiza. Pia tatizo sio tu watu wanaishi ktk umaskini wa kutupa, bali pia prospect yenyewe ni bleak, yaani mbele ni kiza kitupu.

Haujui kama mke wako atajifungua salama, haujui kama mtoto atapata huduma bora za afya likitokea jambo kubwa (kama huna pesa ya kumpeleka India hesabu maumivu), Haujui kama mtoto utakayempeleka shule ya kata atapona kupata division zero, haujui akifaulu kama utapata ada, akifika level ya chuo kikuu haujui kama atapata mkopo wa serikali asilimia 100, akimaliza chuo haujui kama atapata kazi-(na style mpya ya serikali ya head hunting, mtoto wa Kalumanzila nani anamfahamu?) !!
 
Intifada si vita wala bunduki, hii ni demonstration ya Wa-Palestines kususia kutumia bidhaa za Israel ambazo ndizo wanatumia kwa makusudia ya kuwapunguzia kipato na kuto lipa kodi.

Amna bunduki wala hata machete hayatumiki, the idea is for them to have their own industries and services kwani maji, umeme na vyakula vingi vinatoka Israel. Hivyo Intifada aims not use those services as a demonstration.

Sasa sijui bongo ita apply vipi, labda watu wagome kutumia bidhaa ambazo Tanzania can easily produce hili Serikali iongoze ajira, kufufua viwanda, kuongeza production and quality of the produce/production.
 
Watu wa CCM utawajua tu kwa kuwatia watu woga. Ilikuwa hivi wakati wa vugu vugu la vyama vingi - Tanzania ni nchi ya amani na utulivu, hatutaki ya Ruanda hapa. Wengine tukauliza, je vyama vingi maanake ni vita ? Well, tumeshuhudia serikali hiyo hiyo ya CCM ikiendesha vita dhidi ya watanzania wengine ambao hawakiungi mkono. Do we learn something here ? Kwa wengine yes, kwa majority no way. Kwa mfumo tulio nao hiyo kura ya kuiondoa CCM madarakani itawezekana kwa njia ipi ya amani ?

Ifuatayo yawezekana, mradi nia ipo.

coelhovilento4nw.jpg


Kinachotakiwa ni uthubutu ambao watanzania wengi hawana na kama alivyowahi kusema mchangiaji moja tunapenda vyepesi vyepesi, vya bwerere bwerere na ambavyo hatuvitolei jasho. Hatuwezi kuendeleza mbinu zile zile tukategemea matokeo tofauti, ni lazima tujue kwamba kila kitu kina gharama zake. Historia ya Dunia inatufundisha hivyo, sasa sisi watanzania tupo sayari gani tunapodai hatuwezi kujitoa mhanga kulitetea taifa letu.

Mbona Idi Amin alipotuvamia hatukuogopa kuingia vitani kwa sababu sisi ni watu wa amani na utulivu. Maadui wanaotutafuna sasa wana tofauti gani na Idi Amin kama lengo lao ni kuteketeza rasilimali zetu watanzania. Mafisadi wanatutangazia kwa mbwembwe na dharau kuwa watatutawala hata kwa miaka mia, watashinda uchaguzi kwa asilimia 90%, sisi twabakia kupiga makofi. Hii jeuri yao na kejeli wanaitoa wapi - hapana, mbinu lazima ibadilike.


 
huyo mama aliidefine vizuri tu - mapinduzi ya moto yanatumia silaha za moto ila mapinduzi ya baridi yanatumia silaha za baridi na yote yanaleta mabadiliko makubwa:

mfano: wafanyakazi wote (wakiwamo hao wasomi waliojitoa) wakigoma unadhani hawataleta mapinduzi baridi?

Kind of like passive resistance? How can a resistance be passive and not active? This is one of the tactics that Dr. King used during the civil rights era....
 
Back
Top Bottom