In Africa

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.

Why?
What should be done to remedy the situation?
 
Because people lack depth, detail oriented approaches and preciseness, like how your question was asked.

Swali lako lilivyoulizwa kivivu linaonyesha wazi tatizo letu ni nini. Watu wavivu, waoga, hawako makini etc etc.
 
Ni nini kinaonyesha uvivu kwenye swali langu Kiranga?
 
Mie naona hata lilivyojibiwa pia maana alot of theories lack of depth, detail oriented bla blah.......... Maana km mtu haelewi swali then what do you expect?
 
Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.

Why?
What should be done to remedy the situation?
Mie binafsi naona tatizo kufanya vutu vyetu kwa kutumia theories na benchmark za West. Ni vyema tukawa na mifumo yetu wenyewe ambayo ndiyo itaendesha uchumi, siasa nk. Hii mifumo ya dunia ya kwanza inahitaji tamaduni za watu wa kule, elimu yao, mahusiano yao ya kijamii nk. Tuachane na theories za kwenye vitabi ninahakika we can move.
 
bnhai una akili sana.
Waweza kumsoma mtu kwa haraka.
 
Mie binafsi naona tatizo kufanya vutu vyetu kwa kutumia theories na benchmark za West. Ni vyema tukawa na mifumo yetu wenyewe ambayo ndiyo itaendesha uchumi, siasa nk. Hii mifumo ya dunia ya kwanza inahitaji tamaduni za watu wa kule, elimu yao, mahusiano yao ya kijamii nk. Tuachane na theories za kwenye vitabi ninahakika we can move.

Tatizo ni kwamba hatuna ingenuity itakayotuwezesha kufanya mambo yetu kwa kutumia kanuni zetu wenyewe.
 
Mie binafsi naona tatizo kufanya vutu vyetu kwa kutumia theories na benchmark za West. Ni vyema tukawa na mifumo yetu wenyewe ambayo ndiyo itaendesha uchumi, siasa nk. Hii mifumo ya dunia ya kwanza inahitaji tamaduni za watu wa kule, elimu yao, mahusiano yao ya kijamii nk. Tuachane na theories za kwenye vitabi ninahakika we can move.
Point.
Nimekusoma mtaalamu bnhai
 
Ni nini kinaonyesha uvivu kwenye swali langu Kiranga?

Huna data, huna details, huna comparison, hujajisumbua hata kutoa anecdotes, una assume tu kwamba kila mtu atakubaliana na wewe.

What is "poor economies"? Kwa standards gani? Umefanyaje comparison ya Africa na Latin America na Asia? Africa kuna poor economies au kuna mismanaged economies? Unaelewa tofauti ya poor economies na mismanaged economies?

What is "a lot of diseases"? Una statistics? Kama mtu hajui chochote kuhusu haya mambo utamuonyeshaje kwamba Afrika hali ni mbaya zaidi ya Latin Amerika na Asia?

Mortality rate very high compared to who?

Civil war "here and there" what do you mean by "here and there"?

How can you demonstrate that africa has poor leadership?

The point is not that I disagree with your assertion, rather you do not put even anecdotal references to support your premises, this points to intellectual lazyness, which is my answer to your question.

The answer to your question lies in your question. If you will look carefully at how your question is framed you will get the answer right there.

Najua wewe si mtoto wa darasa la nne, lakini umeuliza swali vibaya kuliko mtoto wa darasa la nne asiyeweza kupata maksi nzuri.
 
You remind of someone i know very well and you have common denominator...that is why i said no comment!
Once i am done with my research i will let you know!...let me keep observing!

I like how you write but that avatar of yours is a distraction! Indeed, you are well endowed by the creator. Can I get an amen?
 
Huna data, huna details, huna comparison, hujajisumbua hata kutoa anecdotes, una assume tu kwamba kila mtu atakubaliana na wewe.

What is "poor economies"? Kwa standards gani? Umefanyaje comparison ya Africa na Latin America na Asia? Africa kuna poor economies au kuna mismanaged economies? Unaelewa tofauti ya poor economies na mismanaged economies?

What is "a lot of diseases"? Una statistics? Kama mtu hajui chochote kuhusu haya mambo utamuonyeshaje kwamba Afrika hali ni mbaya zaidi ya Latin Amerika na Asia?

Mortality rate very high compared to who?

Civil war "here and there" what do you mean by "here and there"?

How can you demonstrate that africa has poor leadership?

The point is not that I disagree with your assertion, rather you do not put even anecdotal references to support your premises, this points to intellectual lazyness, which is my answer to your question.

The answer to your question lies in your question. If you will look carefully at how your question is framed you will get the answer right there.

Najua wewe si mtoto wa darasa la nne, lakini umeuliza swali vibaya kuliko mtoto wa darasa la nne asiyeweza kupata maksi nzuri.
Mbona aproach yako ya kujibu maswali ni poor sana?
Anyway punguza jazba.
Wanaojua wameshajibu.
Wewe subiri usome points za wataalamu.
 
Poor economies.
A lot of diseases,
Mortality rate very high,
Civil wars here and there,
Poor leadership,
etc.

Why?
What should be done to remedy the situation?

A lot is involved. Kuanzia hali ya hewa . . . . . . . . mpaka akili.

A lot of diseases: Look at the climate of Africa first. The hot, humid climate in much of Africa encourages the spread of insects that destroy livestock and cause various diseases in people.

Africa's climate has made agricultural improvement difficult. In areas with limited and unreliable rainfall, farmers may be uncertain of what crops to plant.

Kumbuka kuwa, hali moja ya hapo juu, example, ya climate, inasababisha umaskini na magonjwa, ambayo yanasababisha kuwa na poor leadership/mafisadi ambayo inaweza kusababisha hiyo civil war ambayo inaongezea umaskini na magonjwa, etc etc etc.

Remember almost all the rest of Africa has one or two seasons of heavy rainfall separated by dry periods. Sasa wananchi wa Africa wanakuwa domant mentally because of having one season mwaka mzima. Wale wenye season nyingi, lets say, Europe, wanalazimika kubadilika na kwenda na wakati kila msimu, hivyo, hali ya kuwa na misimu mingi na tofauti inasaidia kuchangamsha akili na kutafuta njia za kupigana na misimu, which causes development.
 
Back
Top Bottom