Improve Your Vocabulary Mr young master kizungu chako kinabowa

Unanifahamu hadi useme nimesoma kijijini? Kwani kusoma kijijini ndio kutamfanya mtu asiwe msomi??? Kuna wanganpi ambao wamesoma kijijini na sasa ni wasomi na wana nyadhifa kubwa hapa nchini? Mfano mdogo tu ni waziri mkuu ambaye ni mtoto wa mkulima.
In these strategies a well known place kama jf itakusaidia upate elimu
 
young master @tell me about your past,your village,your parents,your role models school and all those things that have made you to join jf
 
If you wanna know anything about me u gotta find a right time and a right place to talk about this. U got dat?
 
Hivi huyu raia katokea wapi anayejiita jane triple zero. Ukiona mtu anajiita zero halafu anakazania kuongeza masufuri mawili na hivyo kuwa matatu anauwalakini kidogo. Anyway jane_000 sio kitendo kizuri cha kumpoint mtu direct

Sikulaumu lack of education
 
nadhani hawa mods wa wakati huu ni wazembe sana,zamani thread kama hii isingeruhusiwa au huyo jane ni mmojawapo wa mods??? ....sikiliza wewe kibibi hatufurahiii kumdegrade member mwingine kutokana na lugha yake....by the way nimeshaona wenyewe orijinale ENGLISH people na hawajui english,ndio itakuwa wewe mmatumbi.??? USITUZINGUE.....
 
hujambo
 
young master kubali yaishe you cant
reach a star I am above everything in this world you are living young man
 
nadhani hawa mods wa wakati huu ni wazembe sana,zamani thread kama hii isingeruhusiwa au huyo jane ni mmojawapo wa mods??? ....sikiliza wewe kibibi hatufurahiii kumdegrade member mwingine kutokana na lugha yake....by the way nimeshaona wenyewe orijinale ENGLISH people na hawajui english,ndio itakuwa wewe mmatumbi.??? USITUZINGUE.....
I have doubt for you being great thinker,if you have issues find ways to identify them a critical thinker is expected to consider viewpoints my take you are amateur
 
Back
Top Bottom