Improve Your Vocabulary Mr young master kizungu chako kinabowa

Jane,

Kujua English Sio sifa. Halafu hapa umemuabisha tu mwenzio. Kwani alikwambia
Amekuja hapa kujifunza English.? Kwanini
Hukumtumia PM umwambie hayo maneno? .

Si vema kumuanika mtu kiasi hiki .. hapo mwisho inasema asijali unata kumsaidia ajue kizungu .. Baada ya kumuanika Hivi Lohhh...
Uskute ndo umemkatisha tamaa ..

Na kingine hajakuomba uwe mwalimu wake kimbele mbele cha nini?

afazali mama umekuja...
huyo bint mwenzenu kulikoni??mbona hana speed governor aise...
 
Ulichofanya jane sio sahihi, ni vema ungeliongelea hili swala kwa upana ili kila mtu limguse na ambie hajui kweli angelifanyia kazi na anaejua angepuuza kuliko kumtaja mtu waziwazi...
 
afazali mama umekuja...
huyo bint mwenzenu kulikoni??mbona hana speed governor aise...

Dahhh ..
Hii imezidi mkuu.
Ingependeza zaidi kama angemwita Kambo amueleze nini kulikoni ...

Si vema kumvua mtu kiasi hiki mbele za watu.
Wanaojua hii lugha kweli hawaongei. Walio okota maneno mawili matatu ndo wanajifanya walimu ..
 
Jane,

Kujua English Sio sifa. Halafu hapa umemuabisha tu mwenzio. Kwani alikwambia
Amekuja hapa kujifunza English.? Kwanini
Hukumtumia PM umwambie hayo maneno? .

Si vema kumuanika mtu kiasi hiki .. hapo mwisho unasema asijali unata kumsaidia ajue kizungu .. Baada ya kumuanika Hivi Lohhh...
Uskute ndo umemkatisha tamaa ..

Na kingine hajakuomba uwe mwalimu wake kimbele mbele cha nini?
Alijifanya anajua kimomombo
 
Dahhh ..
Hii imezidi mkuu.
Ingependeza zaidi kama angemwita Kambo amueleze nini kulikoni ...

Si vema kumvua mtu kiasi hiki mbele za watu.
Wanaojua hii lugha kweli hawaongei. Walio okota maneno mawili matatu ndo wanajifanya walimu ..
Master young anajifanya anajua sana
 
Ulichofanya jane sio sahihi, ni vema ungeliongelea hili swala kwa upana ili kila mtu limguse na ambie hajui kweli angelifanyia kazi na anaejua angepuuza kuliko kumtaja mtu waziwazi...
Thanx alijifanya hamnazo na english yake ya mkopo
 
humuoni wewe
cholo, habari ndo iyo

hawezi tafuta umaarufu kwa expense ya mtu mwingine.

mwenzio hapa i smell love in the air..
Wagombanao ndio wapendanao lol.. Usikute hapa mtu ana seek private attention from jamaa!
 
Improving your vocabulary can come from incidental learning from context direct learning or a combination of a person like meThe best incidental learning comes from reading good books and associating with people who have a good spoken vocabulary and written vocabulary such as like me you little man

Another direct technique is to record definitions of new words in a notebook, which you review whenever you get spare time. You should try to learn at least one new word a day

Usijali Don't take it personal najaribu kukusaidia upate kujua kizungu

Jane??? Is this a fight?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom