Important cellphone codes

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Jamani, hebu tujuzane juu ya codes muhimu za kuverify/kuchunguza simu za mkononi. Code ninayoifahamu ni ile ya kucheki IMEI namba tu, yaani*#06#. Hapo ndo mwisho wa barabara yangu.
Naomba mwenye code zaidi za muhimu aweke hapa jamvini tufaidi.
Asante.
 
zimo humu humu..just search
 
Mkuu usiwe na wasi kama siyo mvivu wa kuperuzi pekenyua humu humu jamvini kunamdau 1 aliziandika nyingi sana na wadau kibao wakaongezea zipo za kumwaga humu humu jamvini.
 
Nimebukua nimepata.Iko kwenye thread ya Sizinga iitwayo: MAUJANJA YA SIMU - NAMBA 6
 
Back
Top Bottom