Kikwete anafikiri watu wamesahau aliposema vyama vya upinzani ni vya msimu hakujua kitu kama hiki kitatokea sasa vyama vinafanya siasa amegeuka anasema uchaguzi umekwisha wasubiri ujao ili aje aseme yale yale. Ajue watu hawatanii wanafanya kweli.Vyama vya msimu vitakufa na sasa kimebaki CHADEMa hivyo kuna haja kubwa sana kuombea CHADEMA na pia kuona jinsi gani tunashiriki katika ukombozi wa Taifa hili na kuona CCM wanachoka na kubaki na watu wao na siasa zile zile za miaka ya 1970's Hongera CHADEMA
CCM wajibu hoja za CHADEMA ambazo ndo ukweli kuliko kutishia kwani chadema ni watanzania hivyo wasifikiri chadema ni viongozi tu.
Tusubiri ZeMarcopolo, GeniousBrain (???) na wenzake watakuja na sura ipiKuna baadhi ya wanasiasa na wanaJF walibeza maandamano ya Chadema kuwa hayatakuwa na impact yeyote, wengine wakadiliki kusema Chadema hawatapata watu Mwanza, lakini kadili siku zilivyoendelea yakatikisa anga lote la Tanzania hadi rais pressure ikampanda akaanza kulalamika kuwa kuna mpango wa kupindua nchi. Impact hiyo iliendelea kuwatoa watu ambao hatukutegemea kama kina Sophia Simba, Wasirra, Tendwa. Wengine tuliowasikia ni Fredrick Sumaye, Mzindakaya, Sitta, Lowassa nk. Hadi leo hii hata baada ya maandamano kwisha bado mtikisiko unaendelea kutikisa. Jana Pinda alipokewa na mabango yaliyoongelea maandamano ya Chadema. Hamuoni kuwa lengo la maandamano ya Chadema kisiasa limefikiwa. Nawauliza waliokuwa wanabeza wako wapi mbona hawaonekani tena au na wao wamekumbwa na impact ya maandamano, wanaona aibu.
Hawana nyimbo zozote zenye beti mpya bali wamefulia tu hao! Wezi wakubwa na wachakachuaji wa karne. Wanalazimisha kukaa katika utawala ili waendelee kutuibia!Tusubiri ZeMarcopolo, GeniousBrain (???) na wenzake watakuja na sura ipi
Wapo sana lakini nyimbo zimewaishia.Tusubiri ZeMarcopolo, GeniousBrain (???) na wenzake watakuja na sura ipi
Kuna baadhi ya wanasiasa na wanaJF walibeza maandamano ya Chadema kuwa hayatakuwa na impact yeyote, wengine wakadiliki kusema Chadema hawatapata watu Mwanza, lakini kadili siku zilivyoendelea yakatikisa anga lote la Tanzania hadi rais pressure ikampanda akaanza kulalamika kuwa kuna mpango wa kupindua nchi. Impact hiyo iliendelea kuwatoa watu ambao hatukutegemea kama kina Sophia Simba, Wasirra, Tendwa. Wengine tuliowasikia ni Fredrick Sumaye, Mzindakaya, Sitta, Lowassa nk. Hadi leo hii hata baada ya maandamano kwisha bado mtikisiko unaendelea kutikisa. Jana Pinda alipokewa na mabango yaliyoongelea maandamano ya Chadema. Hamuoni kuwa lengo la maandamano ya Chadema kisiasa limefikiwa. Nawauliza waliokuwa wanabeza wako wapi mbona hawaonekani tena au na wao wamekumbwa na impact ya maandamano, wanaona aibu.