Imekutoa Kinooma!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Bangi si mchezo!
jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo kujitazama akajiona kama kavaa suti!!
then akaenda kama alivyo kwa MASELA wenzake akawauliza OYA vipi suti imenikaa?

Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinooma ila TAI tu umeifunga chini sana"


hesabiwa leo na jumapili njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom