Imedhihirika, uchaguzi wa urais SAUT ni CCM vs CHADEMA, CCM yamwaga mamilioni.

Jamani vijana someni acheni siasa za vyuoni hazina maslahi kwa taiga. Piga kitabu CCM ha Hata CDM wanawatumia tu kisiasa
Acha basi kutumia kichwa kufugia nywele utumie akili katika kuandika ,sasa kama unasema wanachuo wasifanye siasa vyuoni course kama ya POLITICAL SCIENCE ingekuwa imewekwa na kusomwa?unajidanganya na kudanganya na kupotosha UMMA.

  • :nono:
 
Akili ndogo haiwezi jadili kitu na akili kubwa
 
CHADEMA wanatakiwa wamsimamishe mgombea mwenye uwezo na kuunda timu ya kampeni yenye uwezo mkubwa wa kupanga na kuchambua mambo. Wasomi tunategemea watakula kila shilingi kutoka CCM na ikibidi wadai zaidi Lakini mwisho wa siku wahakikishe CCM inadhalilishwa kama inavyowadhalilisha watanzania kwa miaka 50 bila ya maendeleo, watu wanakula matunda pori, madini yanatoweka, wanyama wanauawa, tunaingizwa kwenye mikataba ya kushibisha matumbo yao! Chukueni pesa za CCM kwani ni sehemu ya mapato yetu wenyewe!
 
Jamani vijana someni acheni siasa za vyuoni hazina maslahi kwa taiga. Piga kitabu CCM ha Hata CDM wanawatumia tu kisiasa
Madhara ya JK Nyerere kuwafundisha somo la elimu ya siasa badala ya CIVICS/URAIA matokeo yake HUJITAMBUI..maisha uliyonayo na changamoto zoote unazokutana nazo ni matokeo ya IMPACT ya siasa za chama kilichopo madarakani!! JITAMBUE!!
 
SAUT ni chuo kinafahamika si cha kipuuzi, hakifagilii magamba! Antony Diallo alitumia pesa kwenye uchaguzi 2010 ili apate ubunge lakizi hazikusaidia.
Sasa makamanda wa SAUT pesa kuleni, kura iende CHADEMA. Kama kawaida tu, hakuna kuendelea kukumbatia ufisadi. Peopleeeeeeeeeeeeeees!
 
Uchaguzi ni lini? tuje kulinda kura. Maana CCM ni wezi wa kura.
 
Dova kamanda kaza buti nimesoma nawe advnc school ninajua uwezo wako uhodari wako kisiasa hakika kamanda utakuwa raisi wa taasisi hyo muhimu sna katika historia yako ya kisiasa,mimi bado napambana na magamba huku iringa kama iliryo kawaida yangu
 
Kwa nini wasisome maana huo uchaguzi hauhusishi Vyama ila ni Kiongozi wa wanafunzi ambaye hatakaa Madarakani hata kwa mwaka mmoja, sasa vipi mnapata vihoro mpaka mapovu Chagueni amabye hana Chama
 
Back
Top Bottom