Imamu Kortini Kwa Uchochezi

Status
Not open for further replies.
Ni wa ile ile dini ya amani!!!

Ukiwauliza wapi amani, they will nvere answer you zaidi ya kuanza balaa
 
Jaman kitendo cha kusema mungu hawezi kuwa mwanadamu tayari unakua unamkufuru mungu! Maana sote tunaamini mungu anaweza wa kufanya jambo lolote lile! Na imenenwa wazi wazi kabisa watasamehewa wote lakin hatasamehewa yule atakayemkashifu ROHO WA MUNGU! Tuwe makini na matamshi yetu!
 
Askofu yuko kwenye mapango nini tokatuone watakufanya nn maaskofu wataka kikao uta achiliwa
 
quoran 5 aya ya 75 soma

Masihi mwana wa Maryamu si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa.
Qur'an 5:75
 
ukae ukijua hayo ni mambo ya kisheria hivyo hakuna bla bla za udini.hapo ni katiba kwenda mbele
 
Nimeanza kugundua uwezo wa akili zako kumbe unatumia " masaburi " kwani hizo huduma wanapata bure ?

Kwani kama Waislam nao wangekuwa wanapewa fedha na Serikali katika kuendesha shughuli zake kama MKATABA WA MOU unavyosema wasingekuwa na Hospital zao ?
k
Think BIG !
kwani hata mkipewa hizo fedha muna kingine cha kufikiria zaidi ya maulid,madrasa nakufuga majini?
 
Mjinga wa ukweli ni mtu ambaye hana elimu, hospitali, barabara, makazi, ulinzi, nk. Kazi kuzunguka mitaani na malapa siku nzima kusubiri mapumbavu mijizee yenu iwaambie kawauweni mapadre, maaskofu, na walei na mnakwenda kweli. Nafikiri wote mmepagawa na majini dini tu haiwezi kuwapeleka mbali hivyo katika ujinga. Jiangalieni kabla hamjaleta miguu hapa kukashifu dini za wengine ambao mnatibiwa kwenye mahositali na kusomesha watoto wenu kwenye shule zao. Itafika siku watawatupa nje ya taasisi zao na hamtakuwa na pakwenda. Ninawatadharisha tu. Zingatieni utamaduni wetu wa kuheshimiana na kuheshimu dini za wengine. Sijasikia mkristo akiagiza wakristo wenzake wakawauwe mashehe, mamufti, sijui na makitu gani kwa kujificha au kwa kuonekana. Sijaona mkristu aliyetoka kuchoma msikiti wa waislamu. Siku zinakuja ambazo hata wakristo watachoka na hapatakalika kwani hata wakiwatimua tu kwenye mahoapitali yao tayari mtajikuta kwenye wakati mgumu sana. Jamani waislamu jiheshimuni ni hilo tu.
 
Kama kuna jamii iliyojazwa ujinga ni jamii hii ya kikristo. Ni wajinga sana hawa jamaa na hivi wanavyozidi kudekezwa na serikali ndiyo ujinga umezidi kuwazunguka zaidi eti Mungu wao anajibu maonbi yao pumbavu sana.
Hivi ile sala yenu ya asubuhi ya bikira malia eti mama wa Mungu hamuoni kama ni kashifa kwa waislamu ambao wanasema Mungu hana mama! Hakuzaliwa,hakuzaa,wala hakuna kitu ambacho unaweza kukifananisha na Mungu. Halafu nyinyi mnatuambia Mungu ana mama kama si uchochezi ni nini?
Nyinyi mnapoenda kutawaza ------ misikitini mlishasikia mkristo anayelalamika? Waacheni wakristo waamini wanachoamini hiwahusu. Kama wanatembea na mikebe kusafisha ------ ni juu yao na imani yao. Usimkashifu yeyote kwa imani yake. Wewe jishughulishe na imani yako na maisha yako inatosha. By the way, hakuna bikira malia mahali popote katika ukristo mind your religion and leave others alone!
 
Mjinga wa ukweli ni mtu ambaye hana elimu, hospitali, barabara, makazi, ulinzi, nk. Kazi kuzunguka mitaani na malapa siku nzima kusubiri mapumbavu mijizee yenu iwaambie kawauweni mapadre, maaskofu, na walei na mnakwenda kweli. Nafikiri wote mmepagawa na majini dini tu haiwezi kuwapeleka mbali hivyo katika ujinga. Jiangalieni kabla hamjaleta miguu hapa kukashifu dini za wengine ambao mnatibiwa kwenye mahositali na kusomesha watoto wenu kwenye shule zao. Itafika siku watawatupa nje ya taasisi zao na hamtakuwa na pakwenda. Ninawatadharisha tu. Zingatieni utamaduni wetu wa kuheshimiana na kuheshimu dini za wengine. Sijasikia mkristo akiagiza wakristo wenzake wakawauwe mashehe, mamufti, sijui na makitu gani kwa kujificha au kwa kuonekana. Sijaona mkristu aliyetoka kuchoma msikiti wa waislamu. Siku zinakuja ambazo hata wakristo watachoka na hapatakalika kwani hata wakiwatimua tu kwenye mahoapitali yao tayari mtajikuta kwenye wakati mgumu sana. Jamani waislamu jiheshimuni ni hilo tu.

Mwenyezi mungu, hakuna Mungu ila yeye Aliye Hai, Msimamizi ya yote milele. Qur'an 3:2

Amekuteremshia kitabu kwa haki,kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili. Qur'an 3:3

Kabla yake,ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furkani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi mungu ni mwenye nguvu na mwenye kulipa. Qur'an 3:4

Hakika Mwenyezi mungu hakifichiki chochote kwake,duniani wala mbinguni. Qur'an 3:5

Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana Mungu ila yeye,mwenye nguvu na mwenye hikima. Qur'an 3:6

Watu wamepambiwa kupenda matamanio ya wanawake, na wana,namirundi ya dhahabu na fedha, na farasi asili na mifugo, na mashamba. Hayo ni starehe ya maisha ya duniani; na kwa Mwenyezi mungu ndio kwenye marejeo mema. Qur'an 3:14

Bila shaka Dini mbele ya Mwenyezi mungu ni Uislamu. Na walio pewa kitabu hawakukhitilafiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi mungu basi hakika Mwenyezi mungu ni mwepesi wa kuhisabu. Qur'an 3:19
 
Hakimu ni Mkristo hawezi kuhukumu kwa kuzingatia sheria! ni lazima atawadhulumu watuhumiwa wa Kiislamu hivyo panahitajika mahakimu 2 Muislamu na Mkiristo ili kuleta balance! Mashehe wote waliokamatwa hawana budi kugoma kuhukumiwa na Mahakimu wakristo pekee!

Uhakimu ni shule.mkiambiwa nendeni shule acheni kulalamika hamtaki.
 
Nyinyi mnapoenda kutawaza ------ misikitini mlishasikia mkristo anayelalamika? Waacheni wakristo waamini wanachoamini hiwahusu. Kama wanatembea na mikebe kusafisha ------ ni juu yao na imani yao. Usimkashifu yeyote kwa imani yake. Wewe jishughulishe na imani yako na maisha yako inatosha. By the way, hakuna bikira malia mahali popote katika ukristo mind your religion and leave others alone!

Ebo!! Kwani wewe huoni jinsi mnavyo itumia vibaya serikali kwa kuishinikiza wawakamate viongozi wa dini ya kiislamu eti kuwa ni wachochezi? Sasa mkiulizwa ni uchochezi gani au kashifa gani ambazo waislamu huzifanya dhidi yenu!!
Ooh eti wanasema Yesu sio Mungu na wala si mtoto wa Mungu pia wanasema ukristo siyo dini! Pumbavu sana. Hivi hamuoni kwa waislamu pia hiyo ni kashifa kwao? Hivyo hamjui waislamu wanapo yatamka hayo wana yanukuu kutoka kwenye vitabu vya Mungu? Kama ni uchochezi basi vitakuwa hivyo vitabu.
Acheni ujuha nyie watu tumieni akili na hekima mliyopewa na Mungu. Huo ujinga wa kiimani mlio nao utawafanya muwe maskini kuliko watu wote.
 
Ustadhi Ilunga tuliimba hapa Jf kuwa ni hatari mkakaa kimya Usalama wa Taifa mpo kweli? leo mkisema katoroka ni Ajabu.
 
Laiti kama wazee wetu walioteseka kwenye biashara ya utumwa na ukoloni wangefufuka leo na kukuta mnakashifiana,kutukanana,kutengana na kudharauliana kwa misingi ya ukristo na uislamu hali mnajua wazi mmekuwa 'cultural slaves' na kuacha kujadili masuala ya msingi kuhusu elimu,afya,uchumi na mahusiano bora katika jamii lakini ninyi mliobebeshwa kichwani imani ya kigeni na kuwa tayari kuua au kutengana kwa misingi hiyo.Je,ninyi nyote si wajinga wakubwa msiojali na kuheshimu mateso waliyopitia babu zenu?
 
Mjinga mwingine asiejitambua huyu hapa. Ukimuuliza asili ya binadamu ni nini! Atakuambia nyani! Na ukimuuliza tena asili ya nyani ni nini bila shaka atakuambia ni binadamu!! Kweli ujinga ni kitu kibaya sana hata kama ukamuona mtu ana madi gree kibao lakini bure kabisa. Linganisha na viongozi wa nchi hii na hapa tulipofikia.
 
Tafuta Quraan umsome Allah utapata jibu

Haya tunayo kusomea ni katika Aya na ukumbusho wenye hikima. Qur'an 3:58

Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi mungu ni kama mfano wa Adamu; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: kuwa! Basi akawa
Qur'an 3:59

Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako mlezi. Basi usiwe miongoni wanaofanya shaka. 3:60

Watakao kuhoji katika haya baada kukufikilia ilimu hii waambie: njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe,kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana ya Mwenyezi mungu iwashukie waongo. 3:61

Hakika haya ndiyo maelezo ya kweli. Na hakuna Mungu ila Mwenyezi mungu tu, na hakika Mwenyezi mungu ndiye mwenye nguvu na mwenye hikima. 3:62

Na kama wakigeuka basi Mwenyezi mungu anawajua waharibifu
3:63

Sema: Enyi watu wa kitabu! Njooni kwenye neno lillilo sawa baina yetu na nyinyi: ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola walezi badala ya Mwenyezi mungu. Na wakigeuka basi semeni: shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu. 3:64

Enyi watu wa kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?
3:65

Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi mungu ndiye ajuaye,na nyinyi hamjui.3:66

Ibrahimu hakuwa Yahudi wala Mkristo,lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.3:67

Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale walio mfuata yeye na Nabii huyu na walio amini. Na Mwenyezi mungu ndiye mlinzi wa waumini.3:68

Wala msimuamini ila anaye fuata dini yenu. Sema: hakika uwongofu ni uwongofu wa Mwenyezi mungu,kuwa apewe mtu mfano wa mlio pewa nyinyi au wakuhojini mbele ya Mola wenu mlezi. Sema hakika fadhila zimo mikononi mwa Mwenyezimungu. Humpa amtakaye. Na Mwenyezi mungu ni mwenye wasaa na mjuzi. 3:73

Na miongoni mwa watu wa kitabu yupo ambae ukimpa amana ya mrundi wa mali atakurudishia, na miongoni mwao yupo ambae ukimpa amana ya dinari moja hakurudishii isipo kuwa ukimsimamia kumdai. Haya ni kwa kuwa wakisema: Hatuna lawama kwa ajili ya hawa wasio jua kusoma. Na wanamzulia uwongo Mwenyezi mungu,hali nao wanajua.3:75
 
Nimekuwa Bukoba mjini nmekuta duka moja la kuuza cd linaweka hizo cd za uchochezi na watu wamejaa hadi barabarani wasikiliza na kuangalia bila serikali kumchulia hatua,hawawezi kusema hawaliona hilo maana nishehemu ya wazi sana,kama unaelekea uswahilini pametizamana na Maua guest house karibu na msikiti.Hii yote ni uzembe wa watendaji,kwahiyo na BK wanasubiri mauaji ndio waanze kutangaza kuwakamata?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom