quoran 5 aya ya 75 soma
kwani hata mkipewa hizo fedha muna kingine cha kufikiria zaidi ya maulid,madrasa nakufuga majini?Nimeanza kugundua uwezo wa akili zako kumbe unatumia " masaburi " kwani hizo huduma wanapata bure ?
Kwani kama Waislam nao wangekuwa wanapewa fedha na Serikali katika kuendesha shughuli zake kama MKATABA WA MOU unavyosema wasingekuwa na Hospital zao ?
k
Think BIG !
Nyinyi mnapoenda kutawaza ------ misikitini mlishasikia mkristo anayelalamika? Waacheni wakristo waamini wanachoamini hiwahusu. Kama wanatembea na mikebe kusafisha ------ ni juu yao na imani yao. Usimkashifu yeyote kwa imani yake. Wewe jishughulishe na imani yako na maisha yako inatosha. By the way, hakuna bikira malia mahali popote katika ukristo mind your religion and leave others alone!Kama kuna jamii iliyojazwa ujinga ni jamii hii ya kikristo. Ni wajinga sana hawa jamaa na hivi wanavyozidi kudekezwa na serikali ndiyo ujinga umezidi kuwazunguka zaidi eti Mungu wao anajibu maonbi yao pumbavu sana.
Hivi ile sala yenu ya asubuhi ya bikira malia eti mama wa Mungu hamuoni kama ni kashifa kwa waislamu ambao wanasema Mungu hana mama! Hakuzaliwa,hakuzaa,wala hakuna kitu ambacho unaweza kukifananisha na Mungu. Halafu nyinyi mnatuambia Mungu ana mama kama si uchochezi ni nini?
Mjinga wa ukweli ni mtu ambaye hana elimu, hospitali, barabara, makazi, ulinzi, nk. Kazi kuzunguka mitaani na malapa siku nzima kusubiri mapumbavu mijizee yenu iwaambie kawauweni mapadre, maaskofu, na walei na mnakwenda kweli. Nafikiri wote mmepagawa na majini dini tu haiwezi kuwapeleka mbali hivyo katika ujinga. Jiangalieni kabla hamjaleta miguu hapa kukashifu dini za wengine ambao mnatibiwa kwenye mahositali na kusomesha watoto wenu kwenye shule zao. Itafika siku watawatupa nje ya taasisi zao na hamtakuwa na pakwenda. Ninawatadharisha tu. Zingatieni utamaduni wetu wa kuheshimiana na kuheshimu dini za wengine. Sijasikia mkristo akiagiza wakristo wenzake wakawauwe mashehe, mamufti, sijui na makitu gani kwa kujificha au kwa kuonekana. Sijaona mkristu aliyetoka kuchoma msikiti wa waislamu. Siku zinakuja ambazo hata wakristo watachoka na hapatakalika kwani hata wakiwatimua tu kwenye mahoapitali yao tayari mtajikuta kwenye wakati mgumu sana. Jamani waislamu jiheshimuni ni hilo tu.
Hakimu ni Mkristo hawezi kuhukumu kwa kuzingatia sheria! ni lazima atawadhulumu watuhumiwa wa Kiislamu hivyo panahitajika mahakimu 2 Muislamu na Mkiristo ili kuleta balance! Mashehe wote waliokamatwa hawana budi kugoma kuhukumiwa na Mahakimu wakristo pekee!
Nyinyi mnapoenda kutawaza ------ misikitini mlishasikia mkristo anayelalamika? Waacheni wakristo waamini wanachoamini hiwahusu. Kama wanatembea na mikebe kusafisha ------ ni juu yao na imani yao. Usimkashifu yeyote kwa imani yake. Wewe jishughulishe na imani yako na maisha yako inatosha. By the way, hakuna bikira malia mahali popote katika ukristo mind your religion and leave others alone!
Laiti kama wazee wetu walioteseka kwenye biashara ya utumwa na ukoloni wangefufuka leo na kukuta mnakashifiana,kutukanana,kutengana na kudharauliana kwa misingi ya ukristo na uislamu hali mnajua wazi mmekuwa 'cultural slaves' na kuacha kujadili masuala ya msingi kuhusu elimu,afya,uchumi na mahusiano bora katika jamii lakini ninyi mliobebeshwa kichwani imani ya kigeni na kuwa tayari kuua au kutengana kwa misingi hiyo.Je,ninyi nyote si wajinga wakubwa msiojali na kuheshimu mateso waliyopitia babu zenu?
Wakati mwingine huwa nafikiria allah ni mungu wa aina gani anayehimiza waumini wake walipize kisasi!!!!!! Wakati wote sipati jibu.
Tafuta Quraan umsome Allah utapata jibu