Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Fikiria dunia yote imekufa. Wewe ni mvulana. Kwa bahati isiyo na jina umesalia wewe na mama yako. Una miaka 18 hivi. Mama 36 hivi. Mwaka mzima mmekaa bila kukutana na dalili ya binadamu mwingine. Ndio nyie mmebakia. Mazingira yapo na vyakula na wanyama wapo ila si wote kama awali. Je, mtakaa hivyo hadi lini? Hamtafikiria kuanzisha kizazi chenu? Je, mtajadili hili? Utakuwa tayari kuanzisha kizazi na mzazi wako? Imagine that.