oh yes....count me in....tunaenda wapi sasa....?
acha u dubu wwmission to sea man mbona hamna beach? au munaanzia pale kunywa bia kwanza. ile coral beach ina mavi yanayo toka kule kwa mwalimu nyerere. bongo beach nzuri zilizobaki ni za mbezi kwenda bagamoyo.
Mkubwa Boflo kwa kuwa umependkeza ma-She 2.. Itbd upate ulinzi make kumbka yule she (Lulu)juzi alivyomfanya jamaa (The great)..
ww ni he au she......
kama she unaweza kujoin hakuna shida
I wish..
Mimi ni she kaka Boflo. I'm my dad's princess. Ntakuruhusu unikague siku ya kwanza. What do I need? (Sijawahi kuogelea zaidi ya kwenye bath tub)