Im looking for swimming partner...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Im looking for a partner for a regular swimming exercises in a swimming pool, even if u dont know how to swim,

am ready to teach you and dont worry about entrance.

Sitaki madume, ni kwa wadada tu wa Jf...

SWIM.jpg
 
oh yes....count me in....tunaenda wapi sasa....?

Naweza kukupeleka swimming ya coral beach(masaki)

Au pale mission to sea man(kurasini) hapa mimi ni member
 
Dah sjui kuogelea afu natamani kupata mtu wa kunifundisha sema kwakuwa umetaka mademu basi i dont fit in,kwaheri
 
Boflo, kama three is not a crowd naomba na mie kuwajoin na Preta. Plz confirm nianze kuchukua costumes kabisa.
 
mission to sea man mbona hamna beach? au munaanzia pale kunywa bia kwanza. ile coral beach ina mavi yanayo toka kule kwa mwalimu nyerere. bongo beach nzuri zilizobaki ni za mbezi kwenda bagamoyo.
 
mission to sea man mbona hamna beach? au munaanzia pale kunywa bia kwanza. ile coral beach ina mavi yanayo toka kule kwa mwalimu nyerere. bongo beach nzuri zilizobaki ni za mbezi kwenda bagamoyo.
acha u dubu ww
unaijua coral beach hotel ya masaki?? swimming pool iko ndani ya hotel

mission to sea man ni club ya mabaharia iko kurasini na kuna swimming pool nzuri tu
 
Mkubwa Boflo kwa kuwa umependkeza ma-She 2.. Itbd upate ulinzi make kumbka yule she (Lulu)juzi alivyomfanya jamaa (The great)..
 
Mimi ni she kaka Boflo. I'm my dad's princess. Ntakuruhusu unikague siku ya kwanza. What do I need? (Sijawahi kuogelea zaidi ya kwenye bath tub)
ww ni he au she......

kama she unaweza kujoin hakuna shida
 
Did I say na mimi nimo?
Tunaunganisha na ile training ingine
 
Mimi ni she kaka Boflo. I'm my dad's princess. Ntakuruhusu unikague siku ya kwanza. What do I need? (Sijawahi kuogelea zaidi ya kwenye bath tub)

jina lako limenichanganya........Poa ni pm tupange ratiba ya kuogelea

Ninavyojua mimi maana ya King'asti ni mwanamme kama binti
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom