I'm baaaaack

SIMPLE X

Member
Sep 7, 2012
25
1
Mods walinipa adhabu ya wiki nzima baada ya kutoridhishwa na mambo niliyoandka kutokana na maandamano ya waislam ijumaa iliyopita.
 
POLE. ME HUWA SICHANGII KABISA MAMBO yoyote yahusuyo dini. karibu mtaani.
 
BAN Acha tu!!Mbaya zaidi kama umeshakuwa adicted na Jf!Karibu sana,taratibu sasa eee?
 
Back
Top Bottom