Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 498
- 106
Kwani kuna madhara yoyote ?
.nikamwambia tu take it to the Lord in prayer.
Kwani kuna madhara yoyote ?
Nina rafiki yangu...more of a mentee lakini tumefahamiana kwa muda so we relate more as friends. Jana amenipa shock of the half-year! Ok, i'm not judging him but kwa kweli alinishtua..
aliniambia he is addicted to pornography..he can't stop, and he thinks he is sinking deeper! Nilishindwa cha kumwambia...
Nikatumia the little mentoring knowledge I have..kummuliza maswali ya self-discovery na kama kweli anataka kuacha..na akasema alipofika amechoka! hataki kuendelea..nikamwambia tu take it to the Lord in prayer...tukaomba wote na nikamuencourage kuwa he will get out..
Tatizo ni, I have never experienced such a thing, I don't know how to advice him more..I felt helpless tulipoachana!
Tafadhali, nisaidieni how to help him...how does one break out of this addiction?
Natanguliza shukrani...
Mimi nipo addicted na jamii forums. Hakuna siku inakatika bila kuchungulia kinachoendelea huku. So addiction zipo nyingi. Na kama haimpi madhara yoyote, hakuna mbaya. Yeye aangalie tu, utafika wakati zitamchosha, na ataziona za kawaida. Anaweza kuacha atakapooa.[/QUOTE]
huyo anahitaji msaada sana, hatua ya kwanza ni kweli kajitambua ana tatizo, kinachofuata ni kuachana na material zote zinazohusiana na porn halafu asaidiewe kutafuta vitu mbadala vya kufanya kwa muda ambao alikuwa akiutumia kuangalia porn halafu pia akiwa na friends wakike na kiume watasaidi kumkeep bizy na mambo mengine nje ya porn. si kweli kwamba akiendelea na tabia hiyo akioa ataacha, noo, mimi nafahamu mume wa rafiki yangu a mbaye anaweza akamaliza mwezi bila kumgusa mkewe kisa tu anajitosheleza kwa kuangalia porn hilo ni tatizo kubwa ni vema asaidiwe na watu walio karibu nae