I'm addicted!

.nikamwambia tu take it to the Lord in prayer.

nionavyo ulipeleka tatizo hili ......to which LORD?...kuna mabwana wengi wa uongo............................na hizo sala ukiona hazisikilizwi jiulize hili swali kwanza............nipe jibu ili niendelee kutoa nasaha zangu..........
 
Kwani kuna madhara yoyote ?

ukizidisha kipimo kwa lolote lile na kulifanya likawa halina mipaka ujue ya kuwa litakuwa na madhara makubwa kimwili na kiroho............utakuwa huna amani na hicho kitu kitakutawala na utapoteza uwezo wa kuisimamia nafsi yako.......na huo ni utumwa wa kujitakia.........
 
Kuna kutupa dvd au magazine na bado akawa na access na net usiku ni kitendo cha kuamka na kuwasha simu yake akaangalia the way anavyotaka. Hatua ya kwanza ya kuacha kitu ni ile kukubali kuwa lile ni tatizo na akawa tayari kukiri kuwa anataka aache. Aiondoe kwanza hiyo hali yeye mwenyewe kwenye mind yake na then hatua ya ziada ni ile ya kuondoa kitu chochote ambacho kinamleta kwenye kuangalia porn. Haswa upweke maana inaelekea muda mrefu yuko alone rum ndo maana anavutika kuangalia porn.
 
La msingi kama hajaoa aoe ili awe anaiangalia ya mke wake hadi aichoke, akid....sha anaingia. Kwa sababu Hapo naona atakuwa anajitesa
 
Mwandishi wa thread ameficha tu inaonekana yeye ndiye mwathirika haswa. Huyo anayemsimulia ni danganya toto tu. Sasa ngoja nikuase ndugu yangu kwamba suala la kuangalia picha za ngono ni hatari sana kwani linakula akili yote na usipoangalia utapoteza hata uwezo wako wa kumwingilia mwanamke kutoka kuua natural feelings. Ushauri wangu ni kwamba ipige vita tabia hiyo kwa nguvu zote na mwombe Mungu akuwezeshe.
 
Nina rafiki yangu...more of a mentee lakini tumefahamiana kwa muda so we relate more as friends. Jana amenipa shock of the half-year! Ok, i'm not judging him but kwa kweli alinishtua..
aliniambia he is addicted to pornography..he can't stop, and he thinks he is sinking deeper! Nilishindwa cha kumwambia...
Nikatumia the little mentoring knowledge I have..kummuliza maswali ya self-discovery na kama kweli anataka kuacha..na akasema alipofika amechoka! hataki kuendelea..nikamwambia tu take it to the Lord in prayer...tukaomba wote na nikamuencourage kuwa he will get out..
Tatizo ni, I have never experienced such a thing, I don't know how to advice him more..I felt helpless tulipoachana!
Tafadhali, nisaidieni how to help him...how does one break out of this addiction?
Natanguliza shukrani...

Hata mi nasubiri maana nipo addicted JF natafta namna ya kujinasua, mbaya zaidi siku zinavyozidi kwenda nazidi kukolea!
 
Kama kuna vitu ambavo ni rahisi kuacha tena bila kutumia msuli ni kuangalia pornograph,itafikia muda ataacha kabisa.
 
guys, i myself, was addicted to pornography what i did is remove all pornos in all my comps, home comp, office comp and in my ipad and phones, burn all dvds with sex things, when on net i use most of my time on this jamiiforums. now i am addicted to jamiiforums
 
Mimi nipo addicted na jamii forums. Hakuna siku inakatika bila kuchungulia kinachoendelea huku. So addiction zipo nyingi. Na kama haimpi madhara yoyote, hakuna mbaya. Yeye aangalie tu, utafika wakati zitamchosha, na ataziona za kawaida. Anaweza kuacha atakapooa.[/QUOTE]

huyo anahitaji msaada sana, hatua ya kwanza ni kweli kajitambua ana tatizo, kinachofuata ni kuachana na material zote zinazohusiana na porn halafu asaidiewe kutafuta vitu mbadala vya kufanya kwa muda ambao alikuwa akiutumia kuangalia porn halafu pia akiwa na friends wakike na kiume watasaidi kumkeep bizy na mambo mengine nje ya porn. si kweli kwamba akiendelea na tabia hiyo akioa ataacha, noo, mimi nafahamu mume wa rafiki yangu a mbaye anaweza akamaliza mwezi bila kumgusa mkewe kisa tu anajitosheleza kwa kuangalia porn hilo ni tatizo kubwa ni vema asaidiwe na watu walio karibu nae
 
Back
Top Bottom