Iliyo keketwa

Aya ni mateso makubwa kwa dada na watoto zetu, ukikuta pahala wanakeketa tafadhali wachukulie hatua manake ni wauaji. Baada ya kuona hizi picha ni hasira tu ndo zimenishika, nilikuwa nasikia juu juu ili jambo, lakini baada ya kuona sitamani hata kuwasikia hao wanao keketa.
 
kwa kweli jinsi maumbile yake yalivyoharibika, akiingiliwa njia ya kawaida anaweza kupiga mayowe kama anachinjwa! mi naona ni kama uke umefunga kabisa kwa kovu na kuacha katundu kdogo tena chini kabisa karibu na njia ya haja kubwa, na hata kukojoa sipati picha anavyokojoa!

yaani, jamani unyama huu unatisa sana.

Mungu tuhurumie!
hivi bado kuna washenzi wanaendeleza hizi mila potofu?
 
Aluuuu.....kama ni uzi.....basi huu ni wa sweta......uuh
Hakyamama walahi........

Inauma sana aisee........... naumisa sana asee........!

Life is too short to waste time hating anyone.........
 
Dah sijawahi ona hii picha za ukeketaji! Zinatisha kweli! Mungu atupe akili na mbinu za kupiga vita dhidi ya haya mambo! Siyo fair kumwondolea mwanamke vile vitu ambavyo Mungu kaviweka kwa makusudi maalum! Haya tuinue miguu mikono mioyo yetu na akili tupambane na haya mambo kwa sasa na forever!! Himaaaaaaaaa!!!
 
Hebu fikiria mtoto mdogo (kama ilivyooneshwa hapo juu) anakatwa laivu na wembe tena bila ganzi na damu nje nje!! Si maumivu hayo? Tupige vitaaaaaa!! Himaaaaaaaa!!
 
Very hard to believe this mpaka ushuhudie aliyefanyiwa.
Ngoja tuangalie kama inawezekana hii tukaipeleka JF Doctor kwani inaelimisha zaidi jamiii athari za ukeketaji wanawake.

Kale katoto kamenigusa sana moyo. What a shame...

Ni kweli kabisa mkuu, usipo shuhudia kwa mwathirika wa tendo hilo ni vigumu kujua athari anazozipata mtu aliye keketwa.....Itakuwa kuwa vizuri sana kama mtaweza kuihamishia kwenye hilo jukwaa la JF Doctor, maana itawaelimisha wengi, kwani kwenye access ya kuingia humu ni wachache sana.
 
ngoshwe...haaa only two pics aisee nimeshindwa endelea
nimeangusha ingolo apa ee Muumba Mbingu na nchi....jamani!!
 
Hizi ni mila za wabibi waliokuwa wanajali mila zajadi enzi zao,ikumbukwe kulikuwa hakuna magonjwa ambukizi kama ilivyo leo hii, na watu walikuwa hawasafiri sana enzi hizo.leo mojawapo ya kikwazo kikubwa cha ndoa ni kukuta utpu wa mahali huko.yaani inashusha thamani kwelikweli.akina dada,mama acheni mambo ya kale acheni wanaume wapate raha ya ndoa kama ilivyokubalika .hebu niwaulize ni wivu au uchoyo kuwafanyia wenzenu hayo?:
 
Duuuuh! imenisikitisha sana aisee,ckubari nasema nikickia kuna mtu anafanyiwa unyama huu,lakn kiukweli wadada kama hawa hawana hisia kabisa na miongoni mwao hawataki kuckia issue ya sex wanasema hawajickii kudo
 
Very hard to believe this mpaka ushuhudie aliyefanyiwa.
Ngoja tuangalie kama inawezekana hii tukaipeleka JF Doctor kwani inaelimisha zaidi jamiii athari za ukeketaji wanawake.

Kale katoto kamenigusa sana moyo
. What a shame...

mpendwa Paw, kale katoto we acha tu, kamenitoa machozi!

kwa kweli kwa kuihamishia kule mtakuwa mmefanya jambo la maana sana. mbarikiwe sana na nawaunga mkono 100%
 
kwa kweli jinsi maumbile yake yalivyoharibika, akiingiliwa njia ya kawaida anaweza kupiga mayowe kama anachinjwa! mi naona ni kama uke umefunga kabisa kwa kovu na kuacha katundu kdogo tena chini kabisa karibu na njia ya haja kubwa, na hata kukojoa sipati picha anavyokojoa!

yaani, jamani unyama huu unatisa sana.

Mungu tuhurumie!

Katika jamii za Wasomali; ukeketaji unahusisha kuondoa clit na labia za ndani, kisha hushona mlango wa uke na kubakiza sehemu ndogo ya kukojolea. Unapoolewa, upande wa mume huja kuhakiki kama bado pamezibwa kisha huitwa kungwi kucha uwazi sehemu hiyo; kwa kawaida Bi Harusi hukaa ndani miezi 3 kabla ya kuingiliwa na mume wake hadi apone kidonda.

Huu sio utani; jamii hizi nimeishi nazo kwa zaidi ya miaka miwili na kwa wana ndoa kukutana kimwili ni pale wanapotaka kutengeneza mtoto vinginevyo hakuna mapenzi katika hilo.
Kuna koo fulani miongoni mwa wasomali wanaochukuliwa kama jamii za hali ya chini; hawa hawaruhusiwi kutahiri mabinti zao. Na wanaume wengi huitahidi miongoni mwa wake zake aoe mmojawapo kutaka koo hizi na huyu ndie atakuwa nusura yake katika ndoa. Bahati mbaya kutokana na hadhi yao ndogo katika jamii, huchukuliwa kama vijakazi ndani ya familia.
 
nimekupata mpendwa. je, kwa mujibu wa maelezo yako, inawezekana na yule kwenye ile picha akawa msomali? manake naye naona kama kovu limefunga kabisa uke na labia ndogo hazionekani kabisa huku akiwa ameachiwa katundu kadogo tu kwa chini!
 
Unyama mtupu! Jamani kama vile ng'ombe anachinjwa! Mungu aturehemu!!!
 
Back
Top Bottom