residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,087
- 9,702
Kwa mara ya kwanza naona unaandika kama binadamu anatumia kichwa kufikiri.Hizi Toyota zitatumaliza.
TOYOTA si gari za kukimbia kwa barabara zetu,hasa hizi SUV.
Kwa mara ya kwanza naona unaandika kama binadamu anatumia kichwa kufikiri.Hizi Toyota zitatumaliza.
RIP dereva! Chanzo cha ajali nini
Gari la mbunge wa CHADEMA Lucy Magereri lenye namba za usajili T348 CSR limepata ajali eneo la Issuna wilaya ya Ikungi mkoani Singida ambapo Dereva aliyefahamika kwa jina la Thomas Maro, amepoteza maisha papo hapo.
Chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa Fuso kuendesha gari upande ambao sio wake, na sasa amekamatwa yupo kituo cha Polisi kwa ajili ya mahojiano.
View attachment 830936
nikudanganye nini mtoto mzuri? jongea karibu yangu upate nuru kama marumaru za ikulu, nakuhakikishia hutajuta you are on the right truck hamisa na katu sitokuangusha katika penzi letu na ujenzi wa Tanzania mpyayaani unavyo sema utadhani kweli
Unakuwa muongo kuliko shetani mwenyewe au ndiye yeye au mwanae? Hivi unajua kuwa mkataba wa dereva wa Mbunge na Mbunge ni wa mbunge mwenyewe? halafu usije kuta wachaga wanapata ajira nyingi kutokana na utendaji wao uliotukuka tofauti na nyie kina YEHODAYA mliokalia majungu na fitina tuu. Wewe hata kukupa banda la kuku unitunzie siwezi maana waweza "kutafuna" kitoweo wakashindwa kutaga bure!Chadema madereva wengi wa Chama ni wachaga .Rejea hotuba ya Mwita Waitara kuhusu madai ya marehemu Chacha Wangwe ambaye alikuwa mchaga akaipindua gari ikamuua Chacha Wangwe halafu akaenda kufichwa Kenya .hadi leo Yule dreva hayuko Tanzania
Unauliza kama Osama bin Laden ana ndevu?Hivi madereva wa Wabunge wa Chadema wote ni WACHAGA? Pumzika panapostahili Mh. Dereva.
Aliyekufa kwenye ajali ya Mheshimiwa Kigwangala ni Mwandishi wa habari naye alikuwa machaga, Mbona hujasema waandishi wote wa mawaziri ni wachaga? Acha Ukabila wa Kipumbavuuu mnoHivi madereva wa Wabunge wa Chadema wote ni WACHAGA? Pumzika panapostahili Mh. Dereva.
Hizi Toyota zitatumaliza.