IKULU za Tanzania

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Juzi tumeona Kaka wa Rais anafunga ndoa kwenye IKULU ya Bagamoyo.
Nikajiluliza Tz tuna Ilkulu ngapi?

Wakati wa Mwalimu ,nilikuwa nasikia Ikulu ndogo ya Chamwino,sikuwahi kusikia IKULU ya Butiama,zaidi ya kuwa nyumbani kwa Mwalimu.

Sasa najiluliza lini Bagamoyo kuwe na IKULU,rather nyumbani kwa rais?

Je Mwniyi alikuwa na ikulu kwao alipozaliwa?
Mmakonde mwenzangu MKAPA wapi?

Samuel Sitta eti naye ana ofisii ya Spika kwao URAMBO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Najiluliza waTz tunaelekea wapi?Hakuna mtu wa kusema enough is enough?
Taxpayers money zinaliwa ovyo wakati watoto wetu wako ovyo ovyo huko vijijini?
 
ndiyo magamba yenyewe haya tunatakiwa kuyakoboa.... kazi pevu, zoezi ni ngumu 'cause mengie hayatoki.
 
dawa ni kuwaua nyoka wote si kusubiri mpaka wajivue magamba tutaumia sana watz
 
Back
Top Bottom