Ikulu ya JMT Kupata Katoto Mwaka Huu

teh teh mi nilitaka nishangaa mtoto wa kikwere kuenda enda kote huko ulaya na mam sapu fulu AC ,fulu kubembea ,asicheke na nyavu !!!! teh teh hongera mwanakwetu...na hivi umejiunga na facebook mbona tutakuchagulia jina la dogo
 
Kuna mwelekeo wa Festi Ledi (FL) wa Bongo kutuletea Kachanga mwaka huu. Kumekuwa na minong'ono mitaani kwamba mwonekano wa FL unaonyesha kuwa mjamzito.

Huo mwelekeo, hiyo minong'ono mbona kama ipo kwenye mitaa yako tu wengine hatusikii wala kuiona? na ni juthi juthi tu mama tumemwona akiwa kwenye crane kule Jamaica haonyeshi hizo dalili za hii nyepesi nyepesi yako?.
 
inawezekana, kwani rais kiutaratibu haruhusiwi kumpa mkewe mimba, kwani kuna siri kuwa rais anashiriki ndoa na mkewe, labda kama angetenda kama ZUMA, kuzini na mademu wengine huko mitaani wakati anandoa za mitaala.

Hapo nilipowekea rangi nyeusi pame-catch attention yangu kwa kweli..,kwa kweli hakuna utaratibu kama huo popote duniani.,sioni kama ni tatizo kwa FL kuwa mjamzito (kama ni kweli), kwani yeye ni mjane?.,nani asiyejua kuwa wanandoa huwa wanashiriki tendo la ndoa ambalo moja ya matokeo yake ni ujauzito?.,au unadhani mheshimiwa haduu, nakumbuka vizuri sana enzi za Tony Blair kule UK (sio Ukerewe) wife wake alipata ujauzito na kujifungua wakati mumewe yu madarakani na haikuwahi kuwa skendo.,ni jambo la kawaida tu, tena yaweza kuwa la kheri sana kwa watz kushuhudia kachanga kanakozaliwa Ikulu
 
Back
Top Bottom