Patakatifu ni mbinguni tu, hata enzi za Nyerere hapakuwa patakatifu.
Patakatifu wapi? Hio ni miongoni mwa porojo za Mwalimu ili utawala uogopwe. Ikulu mahali pabaya pa kuwakandamiza raia na mkuu kula kuku kwa mrija.
Kama hayo yanatoka moyoni kwake n kwanini aliacha ubnge na kujarbu kukimbilia Ikulu? "Watu wanao kimbilia ikulu tuwangope kama UKIMWI"Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa amesema Bungeni ni mahali Patakatifu kuliko hata Ikulu na kumshangaa Spika wa Bunge anavyotumika na mafisadi kulifanya Bunge kuwa mahali pa kuhalalishia dhuluma kwa rasilimali za Watanzania. Slaa aliyasema hayo katika Mkutano maalum wa mapokezi ya Wabunge wa CHADEMA uliofanyika tarehe 10/02/2013 katika Viwanja vya Temeke jijini Dar es salaam.
Hivi wewe Dr. Slaa una unndugu na Baba wa Taifa Mwl. Julius K Nyerere...?
Katiba ijayo lazima itamke kuwepo nafasi ya Baba wa Taifa wa pili..