IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

FEDHA AMBAZO SERIKALI IMEPOTEZA KUTOKANA NA ACACIA,FEDHA HIZI HAZINA KIASI AU HATUTAKIWI KUJUA SIE KINA KALAGHABAHO
 
Povu la nini?
Kuwa mpinzani sio lazima kuwa mjinga kama wewe!
Style up dogo!!
Mimi sio mpinzani ila sipendi pia kudanganywa.. Hivi Braza utajiri wote wa Barrick ni kiasi gani? Nani wa kukulipa zaidi ya dola billion 120? Hizo hela zinatolewa kwenye mzunguko na Mmarekani kirahisi hivyo? athari zake kiuchumi inakuaje?
Wewe sema Barrick wamekubali kulipa hiyo 4% wanayotakiwa kulipa kisheria sio kuja na porojo zingine
 
Hawajatajwa bado mnalalamika, subirini hao watakao hojiwa kama watawataja ndio muulize kitakachofata.

Nimependa alivyowajibu wadaku.
 
Sasa kusema watalipa na wanataka mazungumzo in vtu viwl tofaut.

Mm nafkr wangelipa kwnza then tune kuzungumzaa baadae.

Ningekua mshauri WA rais ningeomba uyo mkuu alojileta akamatwe awekwe kizuizin mpka ela ilipwe
Duh kazi ipo!
 
Back
Top Bottom