IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hayo yote bila ncha ya upanga kwa CCM itakuwa ni ndoto. Mvinyo ni ule ule ila wamekuwa wakitubadilishia chupa tu.
 
Naongeza moja tu, kueleza wapendwa wetu akina Ben Saanane na Azori walipo au walipopelekwa.
 
Ufafanuzi kidogo Sielewi kwanini mnaita serikali ya awamu ya Sita! Rais na Makamu wake waliingia pamoja kuongoza serikali ya awamu ya tano. Rais amefariki hivyo Makamu amekuwa Rais. Kwenye rekodi tuna kuwa na Rais wa Sita wa awamu ile ile ya tano.
 
Umenena kwa uchungu sana bwashee.

Wamama ni viongozi wazuri pia Bwashee,unaanzaje kwenda kumpa dili la kupiga ten percent akaingia line?,ni ngumu wamama ni waaminifu sana.

RIP JPM.
 
Sijawahi muamini mwanaCCM yotote, Samia atakuwa walewale au worst than. Maana walaji bado wapo palepale.
Majizi ya CCM bado yanaongoza nchi.
 
Back
Top Bottom