Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Wakuu,
Mgombea Urais wa CCM amekumbwa na matatizo ya kuanguka mara kwa mara huku sababu zinazotofautiana zikitolewa kuhusiana na tatizo hilo.Je Inawezekana kuunda petition ya kushinikiza jopo la Independent Doctors kuchunguza afya ya mgombea huyo na kuthibitisha kuwa kiafya yuko fit kuongoza nchi?Ikiwezekana si kwa JK tu ,hata kwa wagombea urais wengine.
Kipindi Umar Yar'dua Wa Nigeria alipokuwa Mgombea wa Urais watu walitoa rumours kuwa the guy is not competent to run for Presidency lakini ikapuuzwa na hata na idara ya Usalama wa Taifa,matokeo yake Tatizo lake la Afya lilikua akaja kupoteza maisha.Najua ugonjwa ni tatizo kwa binadamu yeyote,lakini suala la Afya ya Rais yeyote Mtarajiwa ni suala la Muhimu kama ilivyo Taaluma yake,Leadership skills etc
Nimeuliza!