Ikiwa Rginald Mengi atagombea Urais

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,379
3,826
Hali ya siasa inaweza kutabiriwa vipi ikiwa Mengi ataamua kugombea urais na akapitishwa na CCM kama mgombea wake 2015?
 
magwanda yanapohaha, CCM tutamsimamisha Padri Karugendo!
 
Katiba mpya ikiruhusu mgombea binafsi kabla ya 2015 lingezungumzika. Hata hivyo mzee umri umekwenda sana.
 
Hali ya siasa inaweza kutabiriwa vipi ikiwa Mengi ataamua kugombea urais na akapitishwa na CCM kama mgombea wake 2015?

Mchezo mchafu wa kilimanjaro hotel hautamtoka kichwani mwake.mbona mnaweweseka sana na mgombea wa 2015
 
Katiba mpya ikiruhusu mgombea binafsi kabla ya 2015 lingezungumzika. Hata hivyo mzee umri umekwenda sana.

kuna tofauti kati ya kampuni na nchi, hivi hamjaona yaliyomkuta yule tajiri wa italia beluskoni aliyekuwa wazirimkuu alivyotimuliwa na wataliano kama paka?
 
549581_178077792324870_2045084786_n.jpg

Hakuna mzalendo wa kweli atakayekikubali kiti cha CCM! Ni kiti cha mauaji na ufisadi! Ni kiti cha fitina na utapeli! Ni kiti cha uzinzi na ushirikina! Watanzania wengi sasa wanakiogopa kiti hicho!! Ni mchawi peke yake anayeweza kugombania kiti cha ccm!!!
 
Hali ya siasa inaweza kutabiriwa vipi ikiwa Mengi ataamua kugombea urais na akapitishwa na CCM kama mgombea wake 2015?

Iwapo atapitisha na kushindwa, tunakuwa na First Lady ambaye alishawahi kuwa Miss TZ.
 
Wananchi wengi wanaonekana kumkubali kutokana na misaada anayotoa kwa jamii ya kitanzania.Na hicho ndio kigezo wanachokifahamu wengi, ukiwauliza mengine hawajui.
 
Back
Top Bottom