ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,584
- 44,829
Kwasasa tunatembea barabarani ila ndani ya miili ni wabovu usije kumpiga mtu hata kwenzi la kichwa utaishia jela ndugu yangu watu tumeoza maradhi kama yote kutilia ndani saratani,ukimwi na BP.
Ni muhimu tujiulize hasa kundi la vijana la kataa ndoa,team chaputa,UWABATA for life na wale wa kutoa mimba je siku umelazwa umri umeenda huna mtoto kimakusudi ni nani atakusaidia hospital kwa maana kama familia yenu nayo hamna mahusiano mazuri Nduguzo watakuja kukuona ila hawataweza kukaa na wewe kwa zaidi ya mwezi.
Kukaa na mgonjwa kunahitajika confidentiality na truth so awe mtu wa karibu kweli kweli sio mtu Baki na sasa mwanao angeweza kuchukua nafasi hiyo akakufulia nguo,kukuvalisha e.t.c
Hivyo nitoe wito kwa makundi tajwa hapo juu tuubebe tu wajibu kuna faida zaidi kupata mtoto mapema kuliko hasara hivyo tuzaliane Mwali asiyekuzalia kimakusudi Piga chini.