mmmmh wewe mbona ulinitosa last wkend? sikualiki tenaNingependa kila m2 aseme atakua wapi kesho.
Mimi sijapanga pakwenda. nasubiri kualikwa.
wewe utakua wapi weekend hii?
mmmh aya njoo kesho pale pale pa siku ileShosti Ngoja nikuchekeshe! si nilisahu kuwa nilikua na Dozi. yaani ningekuja ningekuboa sana. singewez kabisa kunywa savana,
mamito umeniacha hoi. njoo bana tumuunge mkono bebii
nita ku join. unipitie basi wakati unaenda