Ijumaa Yangu..... Jiunge Nami!!

upo juu mupenzi yetu mupya! nivae thong au ya kawaida?? staki upate usumbufu, we BADILI TABIA uko wapi, marubani ndio siye, njoo tuendeshe chombo hiki, kisije-enda mrama! lol! Asprin twaja hold on kidogo kha!

Kama anachelewa wahi wewe ufaidi uji wa mzito tena moto..... Si unajua uji ulivo mtamu?
 
Last edited by a moderator:
hahahah hommi Asprin usiombeee kesho kwanza fikiria threesome yako wewe , BADILI TABIA na Erotica sijui...kaaaz unayo,

baada ya kusema hayo, Kesho sijui ni lini ila kama ni jumapili toa moja yamebaki masaa 20 hivi....mimi nina masaaa 72 jumamosi yangu ifike...daaaaaaamn.

Hommie Erotica ana mimba asiyojua babake ni nani. ANAYEKUJA NI cacico na BADILI TABIA.

Soma katikati ya mistari apo hommie....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wahi uje uwaone platozoom na Smile, nao watakuwepo
106Milion%C3%A1rioI-29KB_219_106_1.jpg



!Preta tafazali mwambie Lily Flower asikose kuja na vitoto vyake. Kuna kazi ya ukaguzi nataka nivikabidhi.

attachment.php

Vitoto vyangu bado vichanga hata havijaanza kufungu macho.
 
Mbavu zangu babu. ila hapo kwenye chat rooms umenigusa. Humu jamvini tunavochitchati.......kumbe kuna makubwa hivi, lol.
 
Haya babu ukichoka na hao ..
mi ntakuletea ugoro na mkongojo.
na ninajitolea kuwa "Sober driver" :) Weekend njema :)
 
Haya babu ukichoka na hao ..
mi ntakuletea ugoro na mkongojo.
na ninajitolea kuwa "Sober driver" :) Weekend njema :)
Waaaow.... thats my special mjukuu afrodenzi. Hivi unajua nlivokumisi mamaa?

Jana bana baada ya kulewa si nikataka kukamata kifaa cha kuchomekeamo kikojoleo changu baada ya BADILI TABIA na cacico kunitosa...? Nikajifanya naleta mfumo dume baada ya demu kuninywea biya zangu afu bado tena anataka hela ndo akanipe kimwaga mkojo chake..... Niliumbukaje?

Kabla sijaendelea kilichojiri Kaizer popote ulipo hebu nikumbushe leo ni jumangapi? Nina mihadi na Blaki Womani nisije nikapoteza neiweki ya ratiba.
 
Last edited by a moderator:
Jana Remmy ulikosa vingi, kwanini hukuja?
DSC_0377.JPG


Kepten Komba naye alihudhuria
attachment.php

Nilikuwepo sana, tulicheza sana kiduku, hukunitambua tu. Mie nilikuwa nakupiga bamping, mara najichekeshachekesha ukajifanya uko busy na BADILI TABIA.
 
Back
Top Bottom