Ijumaa Yangu..... Jiunge Nami!!

Nitakuwa japo mimi nitakunywa maji tu.
Afadhali Mamndenyi utakuwepo. Hebu vaa upesi uwahi
do.bmp


Kuna vibinti vimeanza tabia mbaya uje uvikomeshe

attachment.php


Ha ha ha, we sio wa kupa picha kabisa
Yaani umenianika kama dagaa?
Sitarudia tena. Nawe punguza kunibania.
 
Last edited by a moderator:
Leo nadhani ni Alhamisi jumlisha moja....mida sijui ila najua ni mchana na mkoloni wangu lazima atorokwe.

Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hommie kesho ni Jumapili toa moja. Siku maalum kwa vitu maalum afu jumapili tunawahi kanisani kusali sala maalum. Kuna sehemu umemuona Mentor?

Hehehe huyo mentor cijamwona kbsaa kwani amealikwa?
 
Last edited by a moderator:
bebii nakuja, namalizia kujipulizia unyunyu.....leo nivae shanga ya gold au za kimasai.....

Cant wait no longer..... kwa hili liroom hebu piga ile gold afu utinge na haka kagauni nlikokununulia Madagascar

IMG_0434.JPG
 
Hahah babu Asprin nipo around nimesikitishwa tu huku ofisini kutokana na mabadiliko ya ghafla yaliyotokea...sijaweza kufanya kazi yoyote apa najifanya bize na computer (the beauty of being a programmer)...mida iishe niondoke...mayb Tuesday toa moja nitakuwa fine!
So babu, wapi hiyo mahali aisee nije nipunguze stress aise..i really nid dat!!! so sad....:sad:
Mentor vipi kiuno chako kwa leo? ile tiba ya majani ya mpapai niliyokupa jana vipi? ilikuhelp?
 
Last edited by a moderator:
khaa! nimekubamba, kumbe unakulaga kwa watu despite effort zangu za kukupikia na kukuandalia ma launch box? yaaani hapa umetangaza vita leo sitaki kuskia cha nini wala nin kumbe wanaume ndo mlivyo. sasa na uroda urudi huko huko.

Duh gfsonwin jamani CUTE jirani nimepita tu kanikaribisha, mlo mmoja hauwezi kudhuru mapishi yako murua.tujiandae kwa mtoko!
 
Last edited by a moderator:
Asprin leo ndio nimeamini kuwa kichwa chako sio kizuri, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimecheka sana! kha! hiyo kama ndio diet wacha ikae tu wallah!
Ukishamaliza kucheka uniambie hapa wewe na Young_Master mlikuwa mnafanya nini.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Afadhali Mamndenyi utakuwepo. Hebu vaa upesi uwahi
do.bmp
Asprin wewe kha! uwiiiiiiiii umeniua jamani, ila watu wa majuu wana miili kha! wanakula nini jamani??
 
Last edited by a moderator:
usijali nakuja, nilikuwa namalizia kunawa uso....

1111.jpg



wanja, uturi vyote viko fresh.....

22222.jpg


ndo natoka sasa najaaaa...................






Cant wait no longer..... kwa hili liroom hebu piga ile gold afu utinge na haka kagauni nlikokununulia Madagascar

IMG_0434.JPG
 
Back
Top Bottom