The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
tutakuwa msikitini tu leo...
Tgif
.......
Unamaanisha Zero Pub sio?
mitaa ya home kwa parents hiyo Madame B, nyuma ya by night bar! lol, karibu kwa parents siku moja!Ya pale If Not Why Not unamaanisha?
mitaa ya home kwa parents hiyo Madame B, nyuma ya by night bar! lol, karibu kwa parents siku moja!
Khaaa. Hata sijui? Nimestukia tu!Tangu lini umeanza kunywa supu ya mkia wa mbuzi??