Ijumaa ya Leo wapi?

KARIBU,
umeamkaje lakini...
au una kubwa zaidi la kumzidi vivian nikupe chance ya leo?
maana mm naangalia service PROVIDER mko vip..panda dau kama vip.

Akhu,
Me ntatulia na ruttashobolwa wangu!!
Tutaanzia Sport BBQ Sinza,
Tutaelekea Elli's Pub Masaki kupata mvinyo na kisha night tutaimalizia Golden kupata Dinner iliyokwenda shule.
Mnaweza mkaja na huyo vivian wako.
Service yangu ataipata Rutta only.
Not othrs.

Ila mimi mzima kbs.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom