Wananchi na wakazi wa igunga wamenunua kadi za cuf kwa wingi toka ujumbe ulipoondoka mkoani Dar es salaam kwenda jimboni humo kwa shughuli za kichama huku wakizunguka katika kata zote na vijiji wanainchi wamechukua bendera na kuzindua matawi mapya pamoja na kuongeza wanachama wapya, hii imepelekea kuagizwa kwa bendera na kadi zingine kutoka ofisi kuu Dar es salaam, hii kwajili ya kujiandaa na mtanange wa uchaguzi mdogo utakaofanyika ndani ya miezi 3 kuanzia sasa.