Viongozi hawatatikisika wala kutikishwa kisa wapuuzi wachache Kudai watarudisha Kadi za CCM

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Naona watu wanataka watumie hii kama njia ya kuitikisa na kuiyumbisha Serikali na Viongozi wake Kwa maslahi binafsi.

Nawakumbusha tuu Serikali haiwezi Kutikishwa na wapuuzi wachache ambao wanataka kuachiwa wavunje sheria kisa Wana Kasi za ccm hivyo eti wataenda kuzorudisha.

Nawakumbusha tuu kwamba wao sio wa kwanza walianza kina Lowasa, Membe, Sumaye nk ila tena baada ya kukuta huko Kwa matapeli hakuna maisha wakatidi tena ccm 😁😁

Mwisho waulizwe wazee wa DP World wameishia wapi?
===
WAZEE SOKO LA MABIBO WAMJIBU RC CHALAMILA, WAMTAKA ATENGUE KAULI ZAKE, WATISHIA KURUDISHA KADI CCM

Wazee hao wamedai kuwa kile alichokiongea Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert chalamila kuwa anatakiwa kutengua kauli yake dhidi wa wafanyabiashara hao wa soko kuu la mabibo.
 
Hili somo linaitwa mjasiriamali na yanayo mzunguka, (the entrepreneur and his or her environments) linachukua asilimia 20, wakati asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali mwenyewe, (personal entrepreneurial competences or traits),biashara nyingi zinakufa kwasababu ya aslimia hii mimi nina ubunifu wangu kwanini biashara zinakufa
 
Mkuu kaaa kwa kutulia, huu upepo huwa unapita , wewe unabak na aibu ..

Muulize Sabaya.

RC Chalamila Kuna kipindi zinajaa na Kuna kipindi zina pwaa.
 
Naona watu wanataka watumie hii kama njia ya kuitikisa na kuiyumbisha Serikali na Viongozi wake Kwa maslahi binafsi.

Nawakumbusha tuu Serikali haiwezi Kutikishwa na wapuuzi wachache ambao wanataka kuachiwa wavunje sheria kisa Wana Kasi za ccm hivyo eti wataenda kuzorudisha.

Nawakumbusha tuu waulizwe wazee wa DP World

View: https://www.instagram.com/reel/Cxf23mwKuXO/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Naunga mkono hoja, CCM haichagulwi na wenye kadi za CCM tuu, wala kuwa na kadi sio sifa ya mpiga kura, CCM inachaguliwa na Watanzania!. Hivyo wanaorudisha kadi, warudishe tuu, ila Kura ni CCM!.

P
 
Sema vizuri, kura za CCM ziko tume isiyo huru ya uchaguzi na vyombo vya Dola visivyojitambua.
 
Naona watu wanataka watumie hii kama njia ya kuitikisa na kuiyumbisha Serikali na Viongozi wake Kwa maslahi binafsi.

Nawakumbusha tuu Serikali haiwezi Kutikishwa na wapuuzi wachache ambao wanataka kuachiwa wavunje sheria kisa Wana Kasi za ccm hivyo eti wataenda kuzorudisha.

Nawakumbusha tuu kwamba wao sio wa kwanza walianza kina Lowasa,Membe,Sumaye nk ila tena baada ya kukuta huko Kwa matapeli hakuna maisha wakatidi tena ccm 😁😁

Mwisho waulizwe wazee wa DP World wameishia wapi?

View: https://www.instagram.com/reel/Cxf23mwKuXO/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Hua nafurah san kuona jinsi mlivyofumbwa macho huku mkijiamin san chini ya jua!!
 
Sidhani kama wanaorudisha kadi wana lengo la kuitikisa serikali. Nadhani lengo lao ni kuonesha hisia zao kutokana na kile wanachohitaji kutendewa! Hata hivyo mchelea mwana kulia, hulia yeye! Mdharau mwiba...
 
Naona watu wanataka watumie hii kama njia ya kuitikisa na kuiyumbisha Serikali na Viongozi wake Kwa maslahi binafsi.

Nawakumbusha tuu Serikali haiwezi Kutikishwa na wapuuzi wachache ambao wanataka kuachiwa wavunje sheria kisa Wana Kasi za ccm hivyo eti wataenda kuzorudisha.

Nawakumbusha tuu kwamba wao sio wa kwanza walianza kina Lowasa, Membe, Sumaye nk ila tena baada ya kukuta huko Kwa matapeli hakuna maisha wakatidi tena ccm 😁😁

Mwisho waulizwe wazee wa DP World wameishia wapi?
===
WAZEE SOKO LA MABIBO WAMJIBU RC CHALAMILA, WAMTAKA ATENGUE KAULI ZAKE, WATISHIA KURUDISHA KADI CCM

Wazee hao wamedai kuwa kile alichokiongea Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert chalamila kuwa anatakiwa kutengua kauli yake dhidi wa wafanyabiashara hao wa soko kuu la mabibo.
Chama ni watu

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Back
Top Bottom