Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

KURA YA MAONI: VOTE Online IGUNGA ELECTION


  • Total voters
    93
  • Poll closed .
Waachieni wana Igunga wenyewe wachague yule wampendae ambae wataona ataweza kuwawakilisha kwa kupeleka vilio vyao bungeni na kuleta maendeleo bora kwa jimbo hilo.

Watu wa Igunga tumieni busara zenu kupata kiongozi wenu Bora
Pole kwa Saumu sheikh ubwabwa.
 
Wewe mwenyewe ndie utachaguliwa kama utagombea IGUNGA ila usigombee kupitia MAGAMBA manake wajaKUAZIZ.
 
Si laima iwe kwao, sisi ni wa Tz Bwana. Kama watu wangeangalia kabila na mahali anapotoka mtu Chambiri mkurya asingechaguliwa Babati

Majibu haya yanapingana na ya Slaa alipojibu maswali hapa Jf j2 fulani zilizopita, kwani alikiri na kusema Igunga inahitaji mwana Igunga anayejua matatizo ya pale siyo kwa kuhadithiwa. sasa unapompeleka mtu mwa kisesa igunga hiyo ni dhahiri kuwa ni tamaa ya madaraka na sio uwakilishi, kwani unataka uniambie wilaya nzima hawana muwakilishi mpaka cdm mumpeleke mtu wa mbali?

Kwahilo mngekiri kuchemka. hapo upinzani itakuwa baina ya Amina said Fundikira na Lucas Mahona na hapo magamba watafanya kila mbinu Naye Mzee fundikira apate mlith serikalini
 
Ebu wekeni picha zao tafadhali sana, pia tupeni CV zao badala ya kujadili kavu kavu wana elimu gani? wanafanya kazi zipi, umri na historia zao hasa chafu szilizopo.
 
MODS naomba muunganishe thread hii na ile ya 'Tumbo wa CDM ataka kurithi viatu vya Rostam' zinafanana.
 
Majibu haya yanapingana na ya Slaa alipojibu maswali hapa Jf j2 fulani zilizopita, kwani alikiri na kusema Igunga inahitaji mwana Igunga anayejua matatizo ya pale siyo kwa kuhadithiwa. sasa unapompeleka mtu mwa kisesa igunga hiyo ni dhahiri kuwa ni tamaa ya madaraka na sio uwakilishi, kwani unataka uniambie wilaya nzima hawana muwakilishi mpaka cdm mumpeleke mtu wa mbali? kwahilo mngekiri kuchemka. hapo upinzani itakuwa baina ya Amina said Fundikira na Lucas Mahona na hapo magamba watafanya kila mbinu Naye Mzee fundikira apate mlith serikalini
Hapana hayapingani, Slaa alisema tuiache Igunga kwa wana Igunga walipochangua mtu wa Iran hatukuwaingilia hata sasa wakichagua Mzungu au Mdengereko ni wao wamechagua.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Waliochukua fomu hadi sasa ni

CHADEMA
1. Gideon Kwandu
2. Anwari Luhumbiza Kashaga
3. Erasto Tumbo, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP

CCM
1. Amina Said Fundikira
2. Shamshu Ibrahim
3. Adam Kamange

4. Ngasa George.

CUF
1. Lucas Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

Hapo kwa red George ameingiaje na hatapata. CCM inaonesha trend hiyo siku hizi.

Ikiwa fair and free ni CHADEMA yeyote. Sitaki kuamini kuwa wananchi wa Igunga ni wajinga.
 
Hivi nikiwauliza mnajadili nini hapa kuna anayeweza kunijibu? kweli masaburi hakukosea kwa kauli aliyotoa,watu hawajamaliza kuchukua fomu nyie mnahesabu wagombea,too sad!
 
Wanaigunga watamchagua Mbunge atakayewafaa kwani wameshaonja machunge ya Mbunge waliyekuwa naye na kuwaacha katikati.
 
Erasto kazana anza campaign za nyumba kwa nyumba wengine wanakusindikiza biiiiiiiiiiiiggggggggggggggggg up chadema we believe in erasto in igunga also in chadema we trust yes he can
 
NI KUTOKA KATIKA VYAMA VITATU TOFAUTI VYA SIASA wanasiasa wanane wamejitokeza kuwania ubunge jimbo la igunga wakiwamo watatu wa chadema, wanne ccm na mmoja wa cuf. mkurugenzi wa sera na utafiti wa chadema waitara mwikabe aliwataja waliojitokeza kuwa ni Gidion kwandu, Anuary kashaga, na katibu mwenezi wa chama hicho Erasto Tumbo.

Alisema milango bado ipo wazi kwa mwanachama yeyote anayetaka kugombe ambapo mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 18 august saa 10 jioni. kwa upande wa ccm katibu wa ccm wilaya hiyo, Neema Adamu alisema pamoja na Amina fundikira wengine ni shamshu Ibrahim, Adam kamange na Ngasa George, mwisho wa kuchukua fomu ni Agosti 13 saa 10 jioni.

Kwa upande wa chama cha wanainchi cuf taarifa zilizopatikana mjini igunga zilieleza mgombea aliyeshindwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwenye uchaguzi uliopita ndiye atakayesimama tena katika uchaguzi huu.

Ni kweli mimi ndiye mgombea tena wa chama changu kimenipendekeza mwisho wa wiki baraza kuu watatoa taarifa, alisema mgombea huyo Lukas mahona. wanasiasa hao wanagombea jimbo hilo baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Rostam Aziz kuachia ngazi kwa madai ya kuzidiwa na siasa uchwara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom