Igunga: Kigogo wa CCM afumaniwa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
.................CCM ndio tabia yao....nadhani mnamfahamu champion wao ni nani?
 
Safari hii CCM wamebanwa kila sehemu CDM ya leo si ya mwaka jana ipo kila idara ina intelligence squared yake, Slaa kasema CCM wako uchi kila wanalofanya linajulikana mapema.
 
mbona ndiyo kazi yao miaka yote.
kuna watu wanajifanya vimbelembele kumbe hata zaliwa yao ni kama huyo kiongozi wao.
alitumia condom lakini?kwani hawachelewi kutuongezea laana katika nchi.
 
KAZI NZURI GAZETI LA TANZANIA DAIMA KWA KUFANYA KAZI ZA PROPAGANDA KWA MANUFAA YA CHADEMA! :angry:
 
Na bado!! wakichakachua mpango wa MUNGU ni kuwamaliza kwa NGOMA. si mnakumbuka zaidi ya 50% ya wakimbiza mwenge walishaondoka kwa NGOMA. Nyie wanaume mnaoruhusu mabinti na wake zenu kwenye kampeni za magamba huo ndio mchezo wa magamba shauri yenu na balaa lenu?!!

Viongozi wa magamba wote ni MAREHEMU WATARAJIWA!
 
1.......... kigogo huyo anayeongoza kampeni za chama hicho kuvamia chumba ambacho watuhumiwa hao walikuwamo na kuanza kumwadhibu mkewe kwa kipigo.

2..............zilivujishwa na kundi la vijana wengine wa kiume walio katika timu hiyohiyo ya kampeni
ya CCM ambao ndiyo waliopenyeza taarifa hizo kwa mume wa mwanamke anayetuhumiwa.

Mosi, kigogo wa magamba anayeongoza kampeni za igunga ni nani kati ya hawa; matson chizii na mwigulu mchemba.

Pili, naona mafunzo wliyowapa vijana kule shelui yameanza kuzaa matunda, wao walidhani wamewapata sasa wao ndio wanapatikana. Alianza kuwaumbua yule aliyetolewa rorya akaelezea mpango mzima wa tindikali sasa hawa nao wameamua kulinda ndoa ya mwanamagamba mwenzao.

Safi sana vijana wazalendo kama hawa ndio wanatakiwa, kwa muda huu waendelee kubakia humo humo na kusaidia kufichua madhambi ya amagamba,uchaguzi ukiisha warudi majumbani kwao wakapumzike kwa amani.
 
kililichomtokea huyo kada wa chichiem ni cha kawaida hata cdm wanayafanya. c kwamba wao ni wasafi kiivo,hayo ni mambo ya nafsi japo ukiwa kiongozi wapaswa kuyaepuka hayaleti turn out nzuri
 
Safari wamebanwa vilivyo walidhani ni mzaha kwamba chadema haikubaliki vijijini.Watu wamebadilika si wale wamiaka ya 47
 
Hahahaha...! Labda huyo mwanamke alikuwa anaanza harakati za kuusaka udiwani wa viti maalum, au ubunge wa viti maalum, au moja ya nafasi 10 za raisi, au ukuu wa wilaya, au ukuu wa mkoa, au vinginevyo....! So, tusimlaumu sana, may be she is an investor......!
 
Huyu Mwigulu fedha za kifisadi zimemlevya mpaka anawarudi wake wa magamba wenziwe, kweli fedha fedheha.
 
Huo mfano wa mtu kuchoma nyumba ili kuua kunguni mbona hauna maana kabisa, hivi kweli kuna mtu amewahi kufanya hivyo au ndo hiyo misemo yao ya kisanii ya kuwapumbaza wananchi ili waendelee kutunisha matumbo yao, angalia jinsi wassira alivyochemka jana, badala ya kujibu hoja analeta ngonjera, naomba Mungu awajalie wapiga kura waweze kupambanua pumba na hoja zenye mashiko wasilewe pilau nakapelo na kanga.
 
Huyo mzinzi aondoke fasta huko kwenye uwanja wa kampeni la sivyo jimbo ndiyo linayeya hilo. Badala ya kutanganza sera za chama yeye ameamua kutanganza uzinzi tena na wake za makada wenzake - aibu kubwa.
 
jamani huyu Bwana Mkubwa ni nani mbona hamumtaji tukamuelewa? unajua hawa wanazunguka sana leo Igunga kesho sehemu nyingine. sasa ni vema tikimjua ili tujichunge nae ili akija wake zetu tusiwaachie kufanya nae kazi. kwa hili hata sisi wana CCM linatuuma. kumbe wanaacha wake zao ili kufaidi wake zet. mnaonaje wawe wanakwenda na wake zao ili wawadhibiti?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom