Igunga: Kigogo wa CCM afumaniwa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
hawa jamaa wana laana, wamechakachua fedha za walipa kodi, haikutosha sasa wanachakachua hadi ndoa za watu hawafai kabisa hawa, badala ya kuwaza namna ya kuwanasua wananchi katika dimbwi la umasikani wanawaza ngono tu!
 
Nilivyo sikia ni kwamba yule mke wa mtu alikuwa ni mwislamu je maimamu mko wapi kukemea hili maana naona mmekuwa kimya au kwa kuwa ni wa ccm. angekuwa zitto,mnyika, slaa tungesoma katika magazeti yote mpaka leo ungeona watu wanavyokomalia katika habari. inasikitisha sana na mjue kuwa huu ni mwisho Mungu aziakiwi jamani
 
Hali ya yule mwanamke Binti wa Mzee Kisimba, Mke wa Rajabu ambae alifumaniwa Live na Mumewe akizini na Mkuu wa Kampeni za CCM Igunga Bw Mwigullu imezidi kuwa mbaya, kwani kumbe maskini alikuwa mjamzito, sasa mbali ya majeraha aliyoyapata kichwani, mimba aliyokuwa nayo, ambayo ilikuwa ndiyo ya kwanza katika ndoa yake, nayo imetoka kutokana na msukosuko, hivi sasa amehamishiwa kijijini kwao na maisha yake yako katika hatihati.

Rajabu nae kwa upande wake, siku ya tukio, yule mpambe aliekuwa akiamuliwa, alitoa Laki mbili za papo hapo kumtuliza, kisha Mwigullu alienda kumpoza na Shs 2m/= na ahadi nyingi nzuri, kisha alifuatwa na Viongozi wakuu ili kumsihi akisitiri chama chake, ili kumdhibiti zaidi ili asitumiwe na Wapinzani kuchafua kampeni za CCM, hivi sasa amesafirishwa asiwepo kabisa hapa Igunga mpaka kampeni ziishe, hata pale dukani kwake penye huduma za kompyuta tulipozoea kumuona hivi sasa hayupo amemweka mtu mwingine amshikie.

Wakati wanandoa hao wakiwa wameharibikiwa vibaya, Mwigullu anaendelea kusepa na kampeni zake bila hata kunyooshewa kidole! Sasa tukilinganisha maafa yaliyompata dada huyu na yaliyompata Mwanamke DC aliyeburuzwa kama mbuzi mpaka mtandio ukamvuka, yupi kafikwa na makubwa zaidi? Maana huyu dada kavuliwa C**pi kisha akashindiliwa Boriti maungoni mwake na Jibaba ambalo limemzidi maarifa na ushawishi kwa tamaa za kimwili, tukisema alijitakia, kwani yule DC nae hakukujitakia? Kwani watu wa Isakamaliwa si siku zote yuko nao? Alikuwa na lazima gani kwenda siku ambayo wenzake waliotoka mbali walipangiwa kwenda kumwaga sera zao?

Kama sio kutafuta Shari kwa makusudi! Lakini cha kusikitisha, pamoja na kuwa suala la DC liko mahakamani, tayari viongozi wa CCM wanatoa hukumu kwa CDM majukwaani, Viongozi wa Kidini nao tayari wako Up in Arms kuihukumu CDM kuwa imeudhalilisha Uislam, kwanini wasisubiri hukumu ya mahakama ili ukweli ujulikane nani mwenye hatia?

Mbona hawatoi tamko lolote kuhusiana yaliyomfika Binti wa Mzee Kisimba, ambayo yamesababishwa kwa makusudi na Mwigullu? Au ni kwa vile DC ni mtu mkubwa na yuko juu ya sheria kwa hiyo asiguswe hata akifanya nini, wakati Rajabu na Mkewe ni watu wadogo tu kwa hiyo hata wakifanywa nini na mtu Mkubwa kama Mwigullu ni sawa tu?
 
BAKWATA AU BASUTA HAIKUKOSEA KUTOA TAMKO.
Walichokifanya Bakwata au sijui shuura wa maimamu siyo kosa tatizo lao kubwa ni kwamba hawako consistenly hilo ndio tatizo
lao kwamba wanachagua matukio. kwa maoni yangu binafsi bakwata au basuta au hata maimamu wanatakiwa kukemea kila unyama
mbaya wowote anaofanyiwa binadamu yeyote yule regardless ya dini/rangi/kabila/jinsia ya mhusika. bakwata inabidi wasione haya kujifunza kutoka kwa watanzania wa kawaida ambapo akimuona mtu amepigwa na majambazi au amefanyiwa unyama wa aina yeyote humuulizi dini yake kwanza utamsaidia kadri ya uwezo wako regardless mhusika ni dini gani.
 
mojawapo wa viongozi wakuu wa kampeni za ccm amefumaniwa na mke wa mtu gesti wakijivinjari. Mwanamke mwenye uhusiano na mratibu wa kampeni za ccm kapata kipigo cha uhakika imebidi alazwe hospitali. Mumewe aliyempa kipigo vilvile ni kada maarufu wa chama cha mapinduzi. Hata hivyo viongozi wa ccm walijazana polisi na kuweza kuipotezea hiyo issue kuzuia aibu.

mkuu walishasema aliyekuwa anambanjua mke wa mwenzake ni mwigulu mchemba
 
bakwata wanakomaa na cdm eti wamemtoa ushungi dc wakati magamba walimvua chupi mke wa muislamu wakakaa kimya, sijui ushungi kuvuka na kuvuliwa chupi ipi ni aibu kwa bakwata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom