Igunga: CHADEMA na CCM watoana jasho, Magufuli akataa kwenda mahakamani

Mkuu Acha ubishi suala ni kwamba Magufuli alikataa kwenda kutoa ushaidi wakati kahusishwa kwenye mashtaka Jikite kwenye hoja acha longo longo
Sina ubishi na kilichoandikwa jana nilipost thread iliyoelezea mambo yote kuhusu Magufuli na majibu aliyotoa Magufuli huyu alietowa mada hii hayupo sahihi sana na isitoshe yupo mbali na tukio lilipo ndo maana ameshindwa kujua hata kesi inafanyika mahakama ipi, mi nafikiri we ndo unaleta longo longo jaribu kila siku kupita humu JF ili uwe updated huyu aliyeleta huu uzi kama jana angekuwa kapita humu leo angetulia Coz kila kitu kinaeleweka tangu jana.
 
Nilikuwa kwenye Ban teh! teh! teh!
 
Hatimaye mahakama ya Igunga inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Igunga inazidi kuwa ngumu baada ya habari kuwa waziri wa barabara nk kukataa kufika mahakamani kutoa ushahidi.

Magufuli anatakiwa mahakani kudhibitisha au kukanusha ahadi alizotoa kama waziri wakati wa uchaguzi.
Kama amepelekewa wito wa mahakama, basi anapaswa kushtakiwa kwa contempt of court... hakuna mjadala
 
Back
Top Bottom