If you want long lasting relationship, usiguse simu ya mpenzi wako

Inategemea mnachukuliana vp, mimi cmu yangu anashika yake nashika na hakuna shida.. Ya nini nimkatalie? Nitakuwa na langu jambo. Kuchunguzana c'o ishu, ya nini nisiwe na imani naye!

Kwa nini ushike simu ya mwenzako kama huna matumizi nayo? Unakuta mtu anapitia msg moja baada ya nyingine, call history; halafu anaanza kuhoji. i really hate that. nashukuru Mungu sina tabia hiyo.....

Hata sina mpango na simu ya mume wangu, wala hana mpango na yangu pia, kuna wakati tunashare gari kwenda ofisini nasahau simu yangu kwenye gari yake namwambia tu aweke call forwarding kwa my direct line

Na yeye ni mara chungu mbovu anasahau simu pia home au kwenye gari mimi ninachofanya ninaizima unless kama aniambie anaexpect call ya maana

Kuna wakati nililazwa na mtoto na simu yangu ilikuwa haina charge akaniachia yake hospital over the weekend na wala sikuiscroll kucheki emails maana najua ni personal, na yeye huku nyuma alicharge yangu akaniletea

Kimsingi kama mnaaminiana mambo madogo kama simu hayawapi shida...ss hv najibu JF si tuko kitandani hata akifungua macho haimpi shida!

Ni suala la uaminifu zaidi ila kama umegundua mwenendo usiofaa wa mwezi wako ndipo utakapoanza kumchunguza kwa kutumia nyenzo mbalimbali zikiwemo simu ila nakumbuka kuna visa matata zaidi nilivyowahi kukutana navyo kama mtu ana tabia za kimalaya na wewe ni mwaminifu itakutesa sana nakumbuka nilishawahi kuwa na mtu na nilikuwa namwachia simu yangu kama yake haina charge anakwenda nayo hata ofisini lakini ya kwake ukishika anakuwa mkali kama pilipili ndipo nilipoanza kumchunguza niliyoyaona yalinifanya nimchimbue zaidi na alikiri 85% kuwa ana mahusiano nje na kuahidi atajirekebisha lakini bado aliendelea na zaidi sana aliendelea kwa usmart zaidi sana ili nisimkamate alitumia landline kuwapigia bwana zake nako nilimwekea mitego akanasa nikawapata wote niakaenda mbali zaidi nikasoma hadi na email zake na alivyochart mpaka zile ambazo ana majina tofauti akidhani siyajui nikaprint nikampelekea. Halafu mtu anakwambia usishishike cm.ya mpenzi wako huo utumwa na ninarudia tena kwa mwanzisha mada usitufundishe ujinga maana hakuna mtu ana shida na simu ya mwenzake ila mazingira ndiyo yatakayopelekea mwenzako kukuchunguza na kuona ulivyo kicheche.

Hata sina mpango na simu ya mume wangu, wala hana mpango na yangu pia, kuna wakati tunashare gari kwenda ofisini nasahau simu yangu kwenye gari yake namwambia tu aweke call forwarding kwa my direct line

Na yeye ni mara chungu mbovu anasahau simu pia home au kwenye gari mimi ninachofanya ninaizima unless kama aniambie anaexpect call ya maana

Kuna wakati nililazwa na mtoto na simu yangu ilikuwa haina charge akaniachia yake hospital over the weekend na wala sikuiscroll kucheki emails maana najua ni personal, na yeye huku nyuma alicharge yangu akaniletea

Kimsingi kama mnaaminiana mambo madogo kama simu hayawapi shida...ss hv najibu JF si tuko kitandani hata akifungua macho haimpi shida!

That means you have nothing to hide, at least not in your phone. When you have nothing to hide you will always feel at ease with each other. Feeling at ease around each other builds trust.

Contrarily, if you are doing inapproprite things it is a no brainer to feel ill at ease to leave your phone around him. This is not complicated. It is as simple as A,B,C, and D.

Mahusiano yanajengwa na TRUST, if you trust your partner s/he will never cheat kabisa. But kama utakuwa unamfanya asiwe huru kwa kujua anapekuliwa pekuliwa, kwa tabia za kibinadam utakuwa unamtengeneza kuwa muongo na mwisho atatafuta comfort somewhere else

...kwa maneno mengine inamaana, kama hujiamini usijiaminishe.

That means you have nothing to hide, at least not in your phone. When you have nothing to hide you will always feel at ease with each other. Feeling at ease around each other builds trust.

Contrarily, if you are doing inapproprite things it is a no brainer to feel ill at ease to leave your phone around him. This is not complicated. It is as simple as A,B,C, and D.

Precisely!!

...kwa maneno mengine inamaana, kama hujiamini usijiaminishe.
Maana yake ni kwamba kama huamini kwamba you are the choosen n the best then huna sifa za kuwa hapo, PERIOD!

Akiwa bado hajakuchoka ataongea nao kwa kujificha, sio?

yes
ataongea kwa kujificha
lakin issue ni pale plae ninini icho chja kuongelea kwa kujificha?
anayekupend akweli atakuchit afu achukue jitiada za kuongelea kwa kujificha?
yote meusi tu.

Sa ukipekua simu yake ndo utazuia asifanye cheatin?

Ni ukweli usiopingika kwamba simu ni chanzo cha matatizo mengi sana.... and if you want to ruin your relationship, basi focus kwenye simu ya mwenza... whether ni waaminifu au la; IT IS NOT RIGHT

Hii issue yote inazunguka katika suala la TRUST. Unapojizuia kugusa simu ya mpenz wako kwa kisingizio cha kuogopa kuumia ina maana huna trust kwa mwenzio na kama hajakupatia sababu za kumshuku, utakuwa humtendei haki.
Ukiamua kutokuigusa usiiguse kwa sababu UNAMUAMINI na si kwa kuwa unaogopa kuumizwa.

Kama hujapewa sababu ya kushuku, jiamini na umwamini maisha ni mafupi jamani try to enjoy every minute of it badala ya kuumiza vichwa

Kuna wanaume wanaplan mambo yao mpaka unashangaaa, anaweza kuwa anacheat na mkewe anajua hivo na simu yake yuko nayo free hata kukuachia na isiite na akijifanya anacheki hakuti msg hata moja mbaya, kuna dada mmoja mumewe ana nyumba ndogo kabisa na kazaa huko ila simu yake mkewe anaweza kaa nayo siku nzima na haambulii kitu

Huyo atakuwa na 'makatibu muktasi' ndo wanapanga appointment na nyumba ndogo yake. Maana kuna siku nilisoma hii mbinu hapa Jf KWAMBA WANAUME SASA WAMEAMUA WAWE NA WATU WA KATI.

Duh hii kali

Hapo kwa kweli pagumu, lakini inategemea na mtu mwenyewe uliye na mahusiano naye, wengine wapo poa tu full kujiachia na simu za wapenzi wao...

Ingawa hiyo haina maana you are on the safety

Back
Top Bottom