AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Have you ever been kissed ..
Have you ever been Kissed . Mpaka you deeply feel and say to your self that If only I just could have this KISS Forever .. Or Do you Kiss Mpaka the one you KISS feels like S/he could have the KISS Forever?? Well one of the beauty of being in LOVE lies in a Kiss To me a Kiss speaks Volumes than any love word you can utter For hapa hamna ku-fake mafilingi Thru a Kiss one is able to express exactly how they feel towards the one they have fallen in love with
A Kiss ni moja ya the most important aspect in a relationship ambayo imesaulika saana (nimelenga wapenzi Sitajagusia Kiss ya ndugu ama jamaa ambayo pia ni Mhimu once in a while); Watu wengi saaana ambao ni wapenzi hu-underestimate saana the POWER of a KISS na how Yule ambae unamkiss aweza logwa kwa hilo Busu utoalo liwe moto moto.. vugu vugu ama la affection
Kiss ilivokua underestimated .
Katika mahusiano hasa ya Mapenzi watu wengi hasa sie Wabongo huangalia more ni jinsi gani huyo better half yupo fit/unfit 6/6 Na kisses ambazo huwalevya wengi ni zile za kuenda extrems katika eneo la tukio... Hapa mimi nasisitiza a Kiss ambayo fills your body and soul with so mucha love and intensive feelings... a Kiss ambayo huweza hadi sababisha eneo husika litoe end results za wapenzi woote wawili bila hata kuligusa wala kupapasa....
Wengi tunasahau kabisa/ ama kuto tambua kua kuna wakati mwaweza fikishana safari (in this case inatakiwa mwanamke ambe sio frijid or ambae sio kazi saana kwake kufika safari) kwa kutumia tu Kisses . Soft and fetching touches sometimes in conjuction with dry humping (no clothes needs to be removed hapa ili mridhike) Hii technique ni very effective hasa kama the lady in question kafika ile monthly due ya kuwepo msituni na ghafla ikatokea kua you as a couple are in the mood ya kwenda nje ya msitu Take note that wale ambo hulazimisha game nyakati hizo ni hatari saana na NOT Advisable Kabisa Na ndo hapa sasa unatakiwa muwe committed in learning how to Kiss one another the way kila mmoja wenu anapenda Siri ikiwa all your mind and concetration iwe hapo...
Kissing and its applicability .
However hio hapo juu ni ngumu saana kama mapenzi yenu sio toka rohoni . For kufanikiwa kwake kama malengo ni end result inategemea saana the feelings you have for one another (thou in most cases kwa upande wa kaka zetu lust also works for them) . Sometimes hata the appreciation you have kwa Mpenzi wako . Yaani kumuona yeye ndio yeye na HAKUNA mwingine KISSING Hupangi kwamba sasa ni Kiss hivi No! hio huja inevitably depending on the wahusika Mood Environment . Circumstances and the like . Yaweza kua ni Kiss ya touching joining.. stolen passion.. affection smacking sound (mwaaah) n.k.
Hivo basi my ushauri kwa members na non-members (thou not absolute) Explore the secrets za Kisses Aina nguvu yake Siri zake its intensity its pleasure and spice up your love life
Fellow JFs naomba Michango ya ziada . Comments . Marekebisho ama lolote lile in relation na Topic
Pamoja Saana
AshaDii...
:drum:....Nawatakia Weekend Njema...:drum: